VIELELEZO VYA UMOJA Somo la 6 kwa ajili

  • Slides: 9
Download presentation
VIELELEZO VYA UMOJA Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018

VIELELEZO VYA UMOJA Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018

FUNGU KIONGOZI “Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo

FUNGU KIONGOZI “Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo” (1 Wakorintho 12: 12)

Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji

Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na za kithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7: 38, upepo katika Yohona 3: 8 na nguzo katika 1 Timotheo 3: 15. Kuna taswira za umoja kadhaa za kibiblia katika agano jipya zinazoonesha mchango wa msingi uletwao na umoja katika asili na utume wa kanisa. Hekalu moja. 1 Wakorintho 3: 16 -17 Jamii moja ya watu. 1 Petro 2: 9 Jengo moja na nyumba moja. Waefeso 2: 19 -22 Mwili mmoja. 1 Wakorintho 12: 12 -26 Mchungaji mmoja na kundi moja. Yohona 10: 1 -11

JAMII MOJA YA WATU “Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu,

JAMII MOJA YA WATU “Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu. ”(1 Petro 2: 9) Watu kutoka kila taifa ni sehemu ya Kanisa, Mungu analichukulia kanisa kuwa ni jamii moja ya watu. Taifa takatifu la watu watakatifu wenye kusudi moja : kutangaza wokovu na upendo wa Mungu kwa ulimwengu. Hakuna tunaloweza kufanya ili tufae kuwa sehemu ya jamii hii ya watu. Mungu ametuchagua leo kama alivyowachagua Israeli (kumb 7: 6 -8). Tumeitwa kuifunua tabia yake ya kimbingu katika maisha yetu kwa upendo na neema yake.

JENGO MOJA NA NYUMBA MOJA “Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye

JENGO MOJA NA NYUMBA MOJA “Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni. ”(Waefeso 2: 20) Katika stiari hii, Paulo anaunganisha wazo la jingo na mawe yake na nyumba ndani yake. Sisi tu mawe yaliyo hai ambayo ni sehemu ya jengo. Jiwe la pembeni na msingi ni (1 P. 2: 4 -5). Hakuna mawe yaliyotengwa. Kila mkristo anawasaidia wengine na yeye pia anasaidiwa nao. Nasi pia tusehemu ya family kubwa, si kwa kuzaliwa: Mungu ni Baba yetu. Tumeunganishwa kwa sababu tumepata uzoefu wa kuzaliwa upya, na tuna fundisho moja na utume mmoja : kuhubiri injili.

“Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu

“Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? ” (1 Wakorintho 3: 16) HEKALU MOJA Taswira ya kanisa ilikuwa wazi kabisa kwa wakristo wa awali (wote wayahudi na wamataifa): Lilikuwa jingo zuri la kumwabudia na kumheshimu Mungu. Jamii ya waumini walio na umoja ni hekalu. Na Mungu huishi kati yao. Hekalu linakuwa katika hatari ya kuvunjika pale migawanyiko inapoanza kutokea kanisani (fg. 17). Paulo anatueleza umuhimu wa kudumu, “nia moja na shauri moja. ” (1 Wakorintho 1: 10).

MWILI MMOJA “Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo

MWILI MMOJA “Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwili mmoja; vivyo hivyo na Kristo. ” (1 Wakorintho 12: 12) Kila mshiriki ni sehemu ya mwili huu na ana kusudi maalumu. Nilazima washiriki wote wafanye kazi pamoja katika tofauti zao. Mwili hauwezi kufanya kazi ikiwa washiriki wake hawaratibiani. Kanisa nini mwili wa Kristo. Yeye ni kichwa na sisi tu viungo. Kama matokeo ya hili: Tofauti zetu za Kabila, rangi, utamaduni, Elimu, na umri kamwe visiruhusiwe kutugawa katika Kristo. Chini ya msalaba sote tu sawa. Injili ina nguvu ya kuponya na kupatanisha. Kila muumini anaunganiswa kwa Kristo kiroho, hivyo mwili wote unalishwa kwa chakula kilicho sawa.

MCHUNGAJI MMOJA KUNDI MOJA “Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa

MCHUNGAJI MMOJA KUNDI MOJA “Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo. ”(Yohona 10: 11) Taswira ya Yesu kama mchungaji mwema iko pia katika Zaburi 23. Kanisa ni kundi la kondoo. Sisi ni kondoo werevu na wa ajabu wanaochungwa na Kondoo wakipotea. Yesu. huwarudisha zizini. Huwatunza daima (wote mmoja na kanisa). Jambo la msingi ni kuwa kondoo hufahamu sauti ya mchungaji. Wale wanaoifahamu sauti ya Yesu kamwe hawatatanga peke yao. Watatembea wakiungana na kondoo wengine. Kwa kweli, umoja na usalama wa watu wa Mungu unategemea walivyo karibu naye na unahusiana moja kwa moja na utii wenye unyenyekevu kwa sauti yake.

E. G. W. (Testimonies for the Church, vol. 7, cp. 32, p. 171) “Katika

E. G. W. (Testimonies for the Church, vol. 7, cp. 32, p. 171) “Katika kielelezo cha mzabibu na matawi yake kunaelezewa uhusiano wa Kristo kwa wafuasi wake na uhusiano miongoni wa wafuasi wake. Matawi huhusiana moja kwa lingine, lakini kila moja lina utofauti usiofungamana na wa tawi jingine. yote yana uhusiano unaofanana kwa mzabibu na yanautegemea kwa ukuaji wao, na kuzaa matunda kwao. Hayawezi kutegemeana. Kila moja kwa ajili yake sharti liungwe katika mzabibu. Na matawi yanapokuwa na mfanano sawa, pia huonesha utofauti. Umoja wao uko katika muunganiko wao kwa mzabibu, na kwa kila moja, ingawa sio kwa njia ile, hufunua maisha ya mzabibu”