Uzazi wa mpango Maana ya uzazi wa mpango

  • Slides: 126
Download presentation
Uzazi wa mpango

Uzazi wa mpango

Maana ya uzazi wa mpango Ni uamuzi wa mtu binafsi au mtu na mwenza,

Maana ya uzazi wa mpango Ni uamuzi wa mtu binafsi au mtu na mwenza, wa lini wazae, watoto wangapi kufuatana na uwezo na mahitaji yao, na watoto wapishane muda gani ( ili mradi isiwe chini ya miaka miwili kwa kutumia njia za uzazi wa mpango walizochagua.

Sera ya uzazi wa mpango tanzania • Mtu yeyote mwenye uwezo wa kupata au

Sera ya uzazi wa mpango tanzania • Mtu yeyote mwenye uwezo wa kupata au kusababisha mimba ‘Ana haki ya kupata huduma za uzazi wa mpango • Kijana balehe ambaye anakiri kuanza kujamiiana haki sawa na watu wengine kupata huduma hizi

Sababu / umuhimu wa uzazi wa mpango • • Sababu za kiafya Sababu za

Sababu / umuhimu wa uzazi wa mpango • • Sababu za kiafya Sababu za kiuchumi Haki ya binadamu Maambukizi ya vvu

Faida za uzazi wa mpango Mama: • Atapona vizuri baada ya kujifungua • Atawahudumia

Faida za uzazi wa mpango Mama: • Atapona vizuri baada ya kujifungua • Atawahudumia vizuri watoto na familia • Atapata muda wa kufanya shughuli zingine za kuongeza kipato • Atapata muda wa kushiriki shughuli za maendeleo

Faida kwa Baba • Atafanya kazi kwa amani • Anakuwa na uhakika wa kipato

Faida kwa Baba • Atafanya kazi kwa amani • Anakuwa na uhakika wa kipato na vitu vya kuridhisha watoto wake • Anakuwa na uwezo wa kuwapatia watoto mahitaji ya msingi kama shule, chakula, nguo nk. • Anapata muda wa kushiriki shughuli za kijamii • Anaweza kujiwekea akiba

Faida kwa mtoto • Anapata muda mrefu wa kunyonya na hivyo kutopata utapia mlo

Faida kwa mtoto • Anapata muda mrefu wa kunyonya na hivyo kutopata utapia mlo au magonjwa hivyo hukua vizuri na afya njema • Hupata upendo mkubwa toka kwa wazazi na familia yake • Hupata huduma zote muhimu na kuwekewa mipango ya maendeleo ya baadaye

Faida kwa jamii • • • Kuboreka kwa huduma za shule Kutokuwepo msongamano katika

Faida kwa jamii • • • Kuboreka kwa huduma za shule Kutokuwepo msongamano katika kliniki Huduma za kijamii huboreka Rasilimali zitaendana na idadi za watu Kupungua kwa watoto yatima

Aina za njia za uzazi wa mpango kwa vijana • • • Vidonge vya

Aina za njia za uzazi wa mpango kwa vijana • • • Vidonge vya kumeza Njia za dharura za kuzuia mimba Njia ya sindano Vipandikizi Kondomu za kiume na kike

Semi na vumi potovu kuhusu njia za uzazi wa mpango

Semi na vumi potovu kuhusu njia za uzazi wa mpango

Kazi za vikundi Orodhesha semi na vumi potovu kuhusu njia za uzazi wa mpango

Kazi za vikundi Orodhesha semi na vumi potovu kuhusu njia za uzazi wa mpango

Njia za uzazi wa mpango ni salama kutumia, kwani zimefanjiwa utafiti wa kina na

Njia za uzazi wa mpango ni salama kutumia, kwani zimefanjiwa utafiti wa kina na kuhakikisha kuwa zinafaa. Kama dawa zingine maudhi madogo huweza kutokea ambayo huisha baada ya muda mfupi

AHSANTE

AHSANTE

Magonjwa ya ngono

Magonjwa ya ngono

Nini maana ya magonjwa ya ngono? Ni magonjwa yatokanayo kwa mtu kujamiiana na mtu

Nini maana ya magonjwa ya ngono? Ni magonjwa yatokanayo kwa mtu kujamiiana na mtu mwenye ugonjwa huo bila kinga

Magonjwa ya ngono yatokeayo mara kwa mara Tanzania • • Kisonono Kaswende Kandidiasis Malenge

Magonjwa ya ngono yatokeayo mara kwa mara Tanzania • • Kisonono Kaswende Kandidiasis Malenge ya sehemu za siri Trikomoniasis Pangusa Viotea

Kaswende ya kuzaliwa: (uvimbe wa ini na bandama)

Kaswende ya kuzaliwa: (uvimbe wa ini na bandama)

Genital Warts

Genital Warts

Genital Warts

Genital Warts

Uhusiano kati ya magonjwa ya ngono na virusi vya ukimwi • Uambukizi ni sawa

Uhusiano kati ya magonjwa ya ngono na virusi vya ukimwi • Uambukizi ni sawa • Uwepo wa magonjwa ya ngono unaongeza uwezekano wa maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa asilimia 40

Dalili za magonjwa ya ngono kwa wanawake • Kutoa maji ukeni yasiyo ya kawaida

Dalili za magonjwa ya ngono kwa wanawake • Kutoa maji ukeni yasiyo ya kawaida na yenye harufu • Maumivu wakati wa kujamiiana • Maumivu au mfukuto wakati wa kukojoa • Hali ya kujisikia kwenda haja ndogo mara kwa mara • Maumivu makali kutokana na vidonda ndani na nje ya sehemu za siri • Matatizo wakati wa hedhi

Dalili kwa wanaume • • Maumivu wakati wa kukojoa Kutoa usaha/damu katika njia a

Dalili kwa wanaume • • Maumivu wakati wa kukojoa Kutoa usaha/damu katika njia a siri Vidonda katika sehemu za siri Kuwashwa sehemu za siri Kuvimba kwa matezi Malenge katika sehemu za siri Kuvimba uume Kuvimba makende

Madhara yatokanayo na magonjwa ya ngono • • Ugumba/utasa Kuvurugikiwa kwa akili Upofu wa

Madhara yatokanayo na magonjwa ya ngono • • Ugumba/utasa Kuvurugikiwa kwa akili Upofu wa watoto wachanga Kutunga mimba nje ya mji wa mimba Kuziba mkojo kwa wanaume Kuharibika mimba Kuzaa mtoto mfu

Matibabu ya magonjwa ya ngono • Mueleze kijana kuwa magonjwa ya ngono yanatibika na

Matibabu ya magonjwa ya ngono • Mueleze kijana kuwa magonjwa ya ngono yanatibika na mpatie rufaa ya kuja kituoni kwa matibabu • Mfuatilie kuhakikisha amepata matibabu na amepona sawa

Matumizi sahihi ya kondom • Use a new condom for each acts of sexual

Matumizi sahihi ya kondom • Use a new condom for each acts of sexual intercourse • Do not use teeth, fingernails or sharp • Put condom on erect penis • Hold tip of condom and unroll it on the erect penis • Withdraw from partner after ejaculation when penis is still erect • Use only water based lubricants

AHSANTE

AHSANTE

Virusi vya ukimwi na ukimwi

Virusi vya ukimwi na ukimwi

Nini maana ya virusi vya ukimwi na ukimwi Virusi vya UKIMWI ni vijidudu vidogo

Nini maana ya virusi vya ukimwi na ukimwi Virusi vya UKIMWI ni vijidudu vidogo sana visivyoweza kuonekana kwa macho, ambavyo vina shambuliwa na kudhoofisha kinga mwilini. Virusi vya UKIMWI vinaishi ktika damu na maji mengine ya mwilini ya mtu aliyeambukizwa. Virusi hivyo vinaweza kuambukiza mtu mwingine kwa kupitia maji ya mwilini hasa damu, manii na maji ya ukeni.

UKIMWI ni hatua ya mwisho ya maambukizi yatokanayo na virusi vya UKIMWI.

UKIMWI ni hatua ya mwisho ya maambukizi yatokanayo na virusi vya UKIMWI.

Ufahamu juu ya VVU na Ukimwi • Asilimia 98. 4 ya wanawake na asilimia

Ufahamu juu ya VVU na Ukimwi • Asilimia 98. 4 ya wanawake na asilimia 98. 9 ya wanaume wote Tanzania wenye umri wa miaka 15 -49 walishawahi kusikia kuhusu Virusi vya Ukimwi. • Kwa upande wa vijijini asilimia 97. 9 ya wanawake na asilimia 99. 6 ya wanawake wanaoishi mijini wenye umri huo walishawahi kusikia kuhusu Virusi vya Ukimwi • Kwa wanaume wanaoishi vijijini ni asilimia 98. 7 ikilinganishwa na asilimia 99. 6 kwa wanaume wanaoishi mijini

Hali ya Maambukizi ya VVU/Ukimwi kitaifa • Asilimia 5. 7 ya wanawake na wanaume

Hali ya Maambukizi ya VVU/Ukimwi kitaifa • Asilimia 5. 7 ya wanawake na wanaume wa Tanzania bara wameambukizwa virusi vya ukimwi. Wanawake ni asilimia 6. 6 na wanaume ni asilimia 4. 6 • Maambukizi ya VVU mijini ni asilimia 8. 7 ukilinganisha na asilimia 4. 7 kwa upande wa vijijini

Hali ya Maambukizi Kimkoa • Kwa Tanzania Bara mikoa yenye maambukizi ya asilimia 5

Hali ya Maambukizi Kimkoa • Kwa Tanzania Bara mikoa yenye maambukizi ya asilimia 5 au zaidi ni Iringa, Dar es Salaam, Mbeya, Shinyanga, Tabora, Ruvuma, Mara, Pwani na Mwanza • Mikoa yenye maambukizi kidogo zaidi ni Kigoma, Arusha, Manyara na Kilimanjaro. • Kwa Zanzibar kiwango cha maambukizi ni cha chini kuliko vyote

Hali ya Maambukizi ya VVU/Ukimwi: Kitaifa. . . • Asilimia 10. 6 ya wanawake

Hali ya Maambukizi ya VVU/Ukimwi: Kitaifa. . . • Asilimia 10. 6 ya wanawake wanaoishi mijini wameambukizwa VVU ukilinganisha na asilimia 5. 3 ya wanawake wanaoishi vijijini ambao wameambukizwa VVU • Asilimia 6. 4 ya wanaume wanaoishi mijini wameambikizwa VVU ukilinganisha na asilimia 4 ya wanaume wanaoshi vijijini ambao wameambukizwa VVU

Njia kuu za maambukizo ni: Kujamiiana na mtu aliyeambukizwa bila kinga Mama kumuambukiza mtoto

Njia kuu za maambukizo ni: Kujamiiana na mtu aliyeambukizwa bila kinga Mama kumuambukiza mtoto wake akiwa tumboni au wakati wa kuzaa Kuwekewa damu ambayo haikupimwa Kuchangia vitu vyenye ncha kali vilivyotumiwa na mgonjwa mwenye virusi Maji mengine ya mwilini zaidi ya damu yana uwezekano wa kuambukiza.

Hatua tofauti za maambukizo ya virusi vya UKIMWI

Hatua tofauti za maambukizo ya virusi vya UKIMWI

Hatua ya 1: • Maambukizi ya awali (becoming HIV antibody infected). Watu wengi wanaopata

Hatua ya 1: • Maambukizi ya awali (becoming HIV antibody infected). Watu wengi wanaopata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, hawajitambui kwamba wameambukizwa, ila kwa wengine wanaoanza kuugua mara tu wanapoambukizwa. Hii inaitwa subconversion illness.

 • Ugonjwa huu unaweza kuchukua wiki chache na mara nyingi unakuja na mafua

• Ugonjwa huu unaweza kuchukua wiki chache na mara nyingi unakuja na mafua yenye homa, udhaifu wa mwili, uvimbe wa tezi maumivu kooni, ukurutu au maumivu ya viungo. Magonjwa hayo yanaambatana na uenezaji wa virusi katika sehemu tofauti za mwilini na hasa katika mfumo wa lymphoid.

Hatua 2: • Haina dalili (clinicaly asymtomatic stage) Hatua hii inaweza kuchukua wastani wa

Hatua 2: • Haina dalili (clinicaly asymtomatic stage) Hatua hii inaweza kuchukua wastani wa miaka 10 na mtu anakuwa hana dalili za ugonjwa wowote isipokuwa uvimbe wa tezi.

 • Katika hatua za awali za maambukizo ya virusi vya UKIMWI, wagonjwa wengi

• Katika hatua za awali za maambukizo ya virusi vya UKIMWI, wagonjwa wengi wanakuwa hawana dalili zozote ingawa kuna mapambano makali ya kinga. Wagonjwa wa aina hii wanaweza kuambukiza virusi vya UKIMWI kwa wengine.

Hatua 3: • Dalili za maambukizo ya virusi vya UKIMWI (symptomatic HIV). Muda unavyozidi

Hatua 3: • Dalili za maambukizo ya virusi vya UKIMWI (symptomatic HIV). Muda unavyozidi kupita ndivyo mfumo wa kinga unavyopoteza mapambano na virusi vya UKIMWI kwa hiyo dalili zinajitokeza. Dalili za maambukizo ya virusi vya UKIMWI zinasababishwa na maambukizi tegemezi.

 • Matatizo yanayojitokeza ni homa, maambukizo ya njia ya hewa, kikohozi, kifua kikuu,

• Matatizo yanayojitokeza ni homa, maambukizo ya njia ya hewa, kikohozi, kifua kikuu, kaposisi sarcoma, upungufu wa uzito, magojwa ya ngozi, maambukizo ya virusi, utando wa mdomoni, maumivu na lymphadenopathy.

Hatua 4: UKIMWI • UKIMWI unathibitishwa kama mtu mwenye virusi vya UKIMWI amepata dalili

Hatua 4: UKIMWI • UKIMWI unathibitishwa kama mtu mwenye virusi vya UKIMWI amepata dalili moja au zaidi za magonjwa tegemezi au sarakani.

Njia salama za kujamiiana ili kuzuwia magonjwa ya kuambukiza na mimba zisizotarajiwa. • Njia

Njia salama za kujamiiana ili kuzuwia magonjwa ya kuambukiza na mimba zisizotarajiwa. • Njia salama ni njia yeyote ile ambayo inazuia au kupunguza uambukizo wa maradhi ya ngono na UKIMWI pamoja na mimba zisizotarajiwa. Njia hizi ni zile zinazoweza kutumiwa bila kupunguza hisia zako.

Njia isiyo na madhara • Vile vitendo ambavyo hakuna kujamiiana kimwili, kama vile kukumbatiana,

Njia isiyo na madhara • Vile vitendo ambavyo hakuna kujamiiana kimwili, kama vile kukumbatiana, kupeana mikono na yeyote.

Njia iliyo na madhara madogo Kutumia kondom. • Iliyo na madhara ya wastani. Ni

Njia iliyo na madhara madogo Kutumia kondom. • Iliyo na madhara ya wastani. Ni vile vitendo vya kuhatarisha kwa kiasi fulani kama vile kutia kidole ukeni au sehemu ya haja kubwa.

Iliyo na madhara makubwa • Njia ambazo zinahatarisha sana kwa sababu zinakuletea kukutana na

Iliyo na madhara makubwa • Njia ambazo zinahatarisha sana kwa sababu zinakuletea kukutana na maji ya mwili ambayo yana virusi kamavile kujamiiana bila kutumia kondom au kunyonya uume usiovaliwa kondom

Jinsi ya kumhudumia mgonjwa mwenye Ukimwi nyumbani: • Anahitaji ushauri nasaha • Chakula bora

Jinsi ya kumhudumia mgonjwa mwenye Ukimwi nyumbani: • Anahitaji ushauri nasaha • Chakula bora na cha kutosha • Anahitaji kujizuia na magonjwa mengine k. m. malaria • Matibabu ya magonjwa nyemelezi kama kifua kikuu

 • Dawa za kurefusha maisha • Upendo toka kwa wanakaya na jamii •

• Dawa za kurefusha maisha • Upendo toka kwa wanakaya na jamii • Ashirikishwe katika shughuli mbali za kijamii kutegemea hali yake

Jinsi ya kuzuia maambukizo: • Kuacha kabisa kujamiiana • Kubakia na mpenzi mmoja nyote

Jinsi ya kuzuia maambukizo: • Kuacha kabisa kujamiiana • Kubakia na mpenzi mmoja nyote mkiwa waaminifu na hauna maambukizi • Kujadiliana juu ya mambo ya ngono • Kutumia kondom kwa usahihi • Kutochangia vitu vyenye ncha kali • Kutumia vifaa safi Kutambua magonjwa ya zinaa mapema

AHSANTE

AHSANTE

MILA NA DESTURI ZINAZOATHIRI AFYA YA UZAZI KWA VIJANA

MILA NA DESTURI ZINAZOATHIRI AFYA YA UZAZI KWA VIJANA

MILA NA DESTURI ZINAZOATHIRI AFYA YA UZAZI KWA VIJANA • Mara nyingi vijana wanakuwa

MILA NA DESTURI ZINAZOATHIRI AFYA YA UZAZI KWA VIJANA • Mara nyingi vijana wanakuwa wahanga wa tabia, mila na desturi mbali zenye athari katika afya ya uzazi kama ukeketaji wa wasichana wanawake, kudhalilishwa kingono, kulazimishwa kuolewa au kuoa mapema na utumiaji wa madawa ya kulevya.

 • Tabia, mila na desturi hizi, huchangiwa kiasi kikubwa na utamaduni wa eneo

• Tabia, mila na desturi hizi, huchangiwa kiasi kikubwa na utamaduni wa eneo husika, mambo ya kiuchumi, na kijamii na mazingira yanayomzunguka kijana.

Kazi ya kikundi Elezea mila na desturi zinazoathiri afya ya kijana

Kazi ya kikundi Elezea mila na desturi zinazoathiri afya ya kijana

Baadhi ya vitendo vyenye madhara ni • • • Ndoa za kupangwa au kulazimishwa

Baadhi ya vitendo vyenye madhara ni • • • Ndoa za kupangwa au kulazimishwa Ukahaba Ukeketaji Madawa ya kulevya Unyanyasaji wa kijinsia

Madhara ya vitendo hivi kwa afya ya uzazi ya kijana Ndoa zilizopangwa au za

Madhara ya vitendo hivi kwa afya ya uzazi ya kijana Ndoa zilizopangwa au za kulazimisha Mimba katika umri mdogo na madhara yake Kuathirika ki-saikologia Mahusiano mabaya ndani ya ndoa Kuvunjika kwa ndoa au kuachana na kurudiana mara kwa mara. Vijana kutofikia malengo yao kimaisha

Mambo ya kuzingatia kuzuia/kuepuka ndoa katika umri mdogo: • Vijana wapewe habari sahihi kuhusu

Mambo ya kuzingatia kuzuia/kuepuka ndoa katika umri mdogo: • Vijana wapewe habari sahihi kuhusu madhara ya ndoa katika umri mdogo. • Vijana washauriwe kujihusisha na shughuli mbali, michezo au masomo. • Kuhamasisha jamii kutoa haki sawa za afya ya uzazi kwa vijana wa kike na kiume.

Ukahaba katika umri mdogo • Ni mahusiano ya kimapenzi yanayohusisha kutoa penzi kwa minajiri

Ukahaba katika umri mdogo • Ni mahusiano ya kimapenzi yanayohusisha kutoa penzi kwa minajiri ya kupata pesa au zawadi. • Biashara ya ukahaba wakati mwingine hufanywa na watu wazima ambao huwatumia vjana kama vitega uchumi.

Madhara ya ukahaba • Kuambukizwa magonjwa ya ngono na UKIMWI • Mimba zisizotarajiwa •

Madhara ya ukahaba • Kuambukizwa magonjwa ya ngono na UKIMWI • Mimba zisizotarajiwa • Unyanyasaji wa kijinsia kama kupigwa, kutolipwa fedha kwa kazi alizofanya n. k. • Kujiingiza kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya • Wizi na ujambazi

Mambo yanayosababisha biashara ya ukahaba katika umri mdogo • • • Umasikni Msukumo wa

Mambo yanayosababisha biashara ya ukahaba katika umri mdogo • • • Umasikni Msukumo wa makundi rika Mila na desturi Ukosefu wa kazi Kutojali/kutowajibika katika masuala ya familia/binafsi • Ugonvi katika familia

Njia za kuzuia ukahaba katika umri mdogo • Vijana wapatiwe elimu kuhusu stadi za

Njia za kuzuia ukahaba katika umri mdogo • Vijana wapatiwe elimu kuhusu stadi za maisha ili kukabiliana na msukumo wa makundi rika. • Vijana wajihusishe na shughuli za uzalishaji mali.

 • Kurekebisha mila na desturi zinazochangia vijana kujiingiza katika ukahaba. • Vijana wasaidiwe/wapewe

• Kurekebisha mila na desturi zinazochangia vijana kujiingiza katika ukahaba. • Vijana wasaidiwe/wapewe nafasi ya kujielimisha zaidi ili waweze kujijengea mazingira mazuri katika maisha ya baadaye.

Ukeketaji wa wanawake • Ni ukataji wa baadhi ya viungo vya nje vya uzazi

Ukeketaji wa wanawake • Ni ukataji wa baadhi ya viungo vya nje vya uzazi vya mwanamke. Kitendo hiki hufanywa kwa ajili ya kutimiza matakwa ya mila na desturi za jamii husika.

Sababu za kukeketa wasichana • • • Kulinda viungo vya uzazi vya mwanamke Kuzuia

Sababu za kukeketa wasichana • • • Kulinda viungo vya uzazi vya mwanamke Kuzuia msichana asiwe Malaya Kuingia rasmi katika rika lingine Kutambulika katika jamii husika Kukubalika katika ndoa

Madhara ya ukeketaji • • • Maumivu makali wakati wa kukeketa Kutokwa na damu

Madhara ya ukeketaji • • • Maumivu makali wakati wa kukeketa Kutokwa na damu nyingi Matatizo wakati wa kujifungua Maambukizo kama vile ya UKIMWI Maumivu wakati wa kujamiiana

 • Kukosa hamu wakati wa kujamiiana • Kuharibika kwa viungo vya uzazi vya

• Kukosa hamu wakati wa kujamiiana • Kuharibika kwa viungo vya uzazi vya nje vya mwanamke • Hofu, uchungu na wasiwas – hasa kumbu ya kukeketwa inapomjia msichana • Kutojiamini

Njia za kuzuia ukeketaji • Sheria na sera za kutokomeza ukeketaji. • Ushirikishwaji wa

Njia za kuzuia ukeketaji • Sheria na sera za kutokomeza ukeketaji. • Ushirikishwaji wa jamii katika kupiga vita suala zima la ukeketaji wa wasichana. • Ushirikishwaji wa viongozi wa kijamii, kisiasa na kiserikali katika kusaidia kutokomezaji ukeketaji. • Kusaidia familia na jamii katika kurekebisha mila potofu zinazohusu ukeketaji.

 • Kuelimisha na kuwawezesha wanawake kiuchumi ili waweze kushiriki kikamilifu katika kutokomeza ukeketaji.

• Kuelimisha na kuwawezesha wanawake kiuchumi ili waweze kushiriki kikamilifu katika kutokomeza ukeketaji. • Kuwahudumia ipasavyo wasichana na wanawake waliopata madhara ya yatokanayo na ukeketaji. • Elimu kwa umma kuhusu madhara ya ukeketaji kwa wasichana.

Jinsi ya kumtambua mtu aliyekeketwa • Wengi wao wanapata matatizo ya kutembea na kukaa

Jinsi ya kumtambua mtu aliyekeketwa • Wengi wao wanapata matatizo ya kutembea na kukaa wakati wanapotoka kufanyiwa ukeketaji. • Maumivu makali • Kutoka damu nyingi sehemu za ukeni. • Viungo vya uzazi vinabadilishwa na kuwa tofauti na vya wasichana/wanawake wasio keketwa. • Kutokuwa na hamu ya kujamiiana. • Hofu, woga, kusononeka. • Msongo wa mawazo baada ya kukeketwa (Post Circumscision Stress).

Madawa ya Kulevya Sababu za vijana kutumia madawa ya kulevya • Kutaka kujaribu (curiosity)

Madawa ya Kulevya Sababu za vijana kutumia madawa ya kulevya • Kutaka kujaribu (curiosity) • Msukumo wa makundi rika • Kukosa kazi • Mahusiano mabaya katika familia • Kuondoa maumivu • Kukosa malezi kutoka kwa wazazi • Kukosa elimu ya kutosha kuhusu madhara ya madawa ya kulevya • Matangazo ya biashara yanayoelezea uzuri wa pombe, sigara

Aina ya madawa ya kulevya na yanavyotumiwa • • • Pombe – Kunywa Sigara,

Aina ya madawa ya kulevya na yanavyotumiwa • • • Pombe – Kunywa Sigara, Tumbuku – kuvuta Bangi – kuvuta Heroin - kunusa, kujichoma kwa sindano Cocaine – kunusa, kubwia, kujichoma na sindano

 • • • Opium - kunusa Mandrax – kunywa Phenobarbitone – kunywa Petroli

• • • Opium - kunusa Mandrax – kunywa Phenobarbitone – kunywa Petroli – kunusa Mirungi – Kutafuna

AHSANTE

AHSANTE

MTANDAO NA RUFAA

MTANDAO NA RUFAA

Nini maana ya mtandao • Mtandao ni kufanya kazi kwa kushirikiana na watu au

Nini maana ya mtandao • Mtandao ni kufanya kazi kwa kushirikiana na watu au vikundi au taasisi nyingine. Mtandao ni muhimu kwa vile sio rahisi kwa mtu au kikundi au taasisi kutoa huduma jumuishi za afya ya uzazi kwa kijana.

Faida za mtandao: • Hutoa fursa kwa ajili ya mahitaji ambayo hayajatatuliwa au kushughulikiwa

Faida za mtandao: • Hutoa fursa kwa ajili ya mahitaji ambayo hayajatatuliwa au kushughulikiwa na pia hutoa nafasi kwa rasilimali kutumika ipasavyo katika jamii. • Pia mtandao huimarisha mikutano ya kubadilishana habari, jinsi ya kuwasiliana na kupata habari mpya kuhusu afya ya ujinsia na uzazi kwa vijana. Huendeleza mikakati iliyofanikiwa ya kutoa huduma ya afya kwa vijana.

Baadhi ya wadau katika mtandao wa huduma za afya ya uzazi kwa vijana ni:

Baadhi ya wadau katika mtandao wa huduma za afya ya uzazi kwa vijana ni: • Taasisi za umma • Mashirika ya hiari yasiyo ya kiserikali yanayoshughulika na vijana • Huduma za misaada za kijamii • Asasi za kidini na mashirika au vyama vya vijana katika jamii/kijiji.

Rufaa: Rufaa ni kitendo cha Mwelimishaji rika kumuelekeza mwanarika kwenye sehemu nyingine kupata huduma

Rufaa: Rufaa ni kitendo cha Mwelimishaji rika kumuelekeza mwanarika kwenye sehemu nyingine kupata huduma ambazo mwelimisha rika hatoi. Waelimishaji rika wanaweza kupata wanarika wenye matatizo ya kiafya ambayo hawawezi kuyamudu na hivyo yatahitaji rufaa kwenda ngazi nyingine.

Baadhi ya matatizo au masuala ambayo yanaweza kuhitaji rufaa ni pamoja na: • Tiba

Baadhi ya matatizo au masuala ambayo yanaweza kuhitaji rufaa ni pamoja na: • Tiba ya magonjwa ya ngono ikiwa ni pamoja na ushauri, ushauri wa hiari na upimaji wa hiari wa VVU • kupata njia za uzazi wa mpango • ushauri na msaada kuhusu matumizi na ulevi wa dawa • ushauri na huduma kuhusu kubakwa na kutoa mimba • tiba na msaada kuhusu UKIMWI.

Kupanga namna ya kutoa rufaa: • Zungumza na mwanarika ili ubaini tatizo au mahitaji

Kupanga namna ya kutoa rufaa: • Zungumza na mwanarika ili ubaini tatizo au mahitaji yake • Mwelimishe kuhusu umuhimu wa kumpa rufaa • Mpe habari kuhusu sehemu anayoweza kupata huduma inayohitajika

 • Mwandikie maelezo mafupi kuhusu sababu za rufaa • Fuatilia ili ujue kama

• Mwandikie maelezo mafupi kuhusu sababu za rufaa • Fuatilia ili ujue kama amefanikiwa kupata huduma • Tunza kumbu kwa usahihi.

AHSANTE

AHSANTE

Kuandaa somo

Kuandaa somo

Mambo ya kuzingatia wakati wa kuandaa somo • • Madhumuni ya somo Walengwa Mada

Mambo ya kuzingatia wakati wa kuandaa somo • • Madhumuni ya somo Walengwa Mada Malengo Maudhui Njia za ufundishaji (njia shirikishi) Vitendea kazi Mbinu za tathmini

Kanuni za utoaji elimu Somo Linatakiwa liwe na: linalohusiana na mahitaji ya kiafya na

Kanuni za utoaji elimu Somo Linatakiwa liwe na: linalohusiana na mahitaji ya kiafya na linalovutia usikivu lililo rahisi kueleweka linalotoa ujumbe lisilo badilika

Hatua za kufuata kabla/wakati wa utoaji elimu Kujenga uhusiano • Wasalimie wanarika katika lugha

Hatua za kufuata kabla/wakati wa utoaji elimu Kujenga uhusiano • Wasalimie wanarika katika lugha inayokubalika • Jitambulishe jina lako na wale unaofuatana nao na mada utakayowasilisha • Waombe wanarika nao wajitambulishe (kama inawezekana) • Waulize wanarika kama wamekaa vizuri • Tambulisha somo na malengo yake

Kujenga uhusiano … • Waulize wanarika wanaelewa nini kuhusu mada iliyotajwa • Washukuru wanarika

Kujenga uhusiano … • Waulize wanarika wanaelewa nini kuhusu mada iliyotajwa • Washukuru wanarika kwa majibu yao mazuri kuhusu mada ya somo litakalotolewa • Ongoza na hamasisha majadiliano ili yawe yanahusiana na mada inayojadiliwa washawishi wanarika kujibu maswali kutoka kwa wenzao

 • Endesha somo ukiwatazama wanarika • Tumia stadi za mawasiliano kwa maneno na

• Endesha somo ukiwatazama wanarika • Tumia stadi za mawasiliano kwa maneno na ishara katika kuendesha mazungunzo

Kutathmini somo • Waulize wanarika kueleza mambo waliyojifunza katika mada • Chagua mambo muhimu

Kutathmini somo • Waulize wanarika kueleza mambo waliyojifunza katika mada • Chagua mambo muhimu na omba wanarika wakueleze • Waambie wanarika watoe maoni yao kuhusu mambo waliojifunza

Kutathmini somo • Waulize wanarika ni mambo gani wanakusudia kufanya baada ya somo hilo

Kutathmini somo • Waulize wanarika ni mambo gani wanakusudia kufanya baada ya somo hilo • Muda wote wa mazungumzo sikiliza matamshi ya wanarika ili uweze kuchambua kiwango cha uelewa

Kufunga somo • Toa muhtasari wa mambo muhimu ya mada iliyotolewa • Waarifu wanarika

Kufunga somo • Toa muhtasari wa mambo muhimu ya mada iliyotolewa • Waarifu wanarika kuhusu mipango ya baadaye

Kufunga somo… • Washukuru wanarika kwa ushiriki/maudhurio yao mazuri na waruhusu kutawanyika • Tayarisha

Kufunga somo… • Washukuru wanarika kwa ushiriki/maudhurio yao mazuri na waruhusu kutawanyika • Tayarisha ripoti ya mafunzo ikijumuisha mambo yote muhimu, terehe, mahali, sababu, idadi ya washiriki, mazungumzo yaliyozingatiwa na mipango ya baadaye

AHSANTE

AHSANTE

Stadi za maisha kwa vijana

Stadi za maisha kwa vijana

Nini maana ya Stadi • Stadi za maisha ni mbinu maalumu, ambazo hutumiwa ili

Nini maana ya Stadi • Stadi za maisha ni mbinu maalumu, ambazo hutumiwa ili kumwepusha mtu kukabiliana na matatizo yatokanayo na mazingira magumu katika maisha ya kila siku.

Kazi kwa kila mshiriki Taja stadi moja ya maisha unayoikumbuka/fahamu katika kadi

Kazi kwa kila mshiriki Taja stadi moja ya maisha unayoikumbuka/fahamu katika kadi

1. Stadi za kujitambua, Humfanya kijana ajielewe kuwa yeye ni nani, ana thamani gani

1. Stadi za kujitambua, Humfanya kijana ajielewe kuwa yeye ni nani, ana thamani gani katika jamii, na anawajibika vipi katika kulinda afya yake, na ile ya jamii nzima.

2. Stadi za mahusiano Humpa kijana mbinu za kuwa na mahusiano salama baina yake

2. Stadi za mahusiano Humpa kijana mbinu za kuwa na mahusiano salama baina yake na jamii inayomzunguka mfano ndugu, wanarika wenzie, watu wa jinsi tofauti na hata viongozi wake/wazazi wake.

3. Stadi za mawasiliano Humpa kijana uwezo wa kuwasiliana ipasavyo, akitumia maneno na ishara

3. Stadi za mawasiliano Humpa kijana uwezo wa kuwasiliana ipasavyo, akitumia maneno na ishara sahihi, katika nyakati muafaka. Pia humwezesha kuwa mthubutu, mkweli na mwenye uwezo wa kuwasiliana bila kuvuruga mahusiano na wengine, hata kama hakubaliani nao. Uwezo wa kuwasiliana kuhusu matatizo aliyonayo humwezesha kijana kupunguza matatizo zaidi.

4. Stadi za kutatua matatizo Humwezesha kijana kujua mbinu sahihi za kutatua matatizo aliyonayo

4. Stadi za kutatua matatizo Humwezesha kijana kujua mbinu sahihi za kutatua matatizo aliyonayo kwa kutumia T 3, yaani Tatizo, Tatuzi na Tokeo. Kijana hupima kila njia anayofikiria kuwa itamsaidia kutatua tatizo lake kwa kuzingatia matokeo ya njia hiyo.

5. Stadi za kufanya maamuzi sahihi Humpa kijana hatua za kufanyia maamuzi, pia humwonyesha

5. Stadi za kufanya maamuzi sahihi Humpa kijana hatua za kufanyia maamuzi, pia humwonyesha vituo vya kufanyia maamuzi. Uwezo wa kujiepusha na tabia hatarishi zinazopelekea maambukizi ya VVU na UKIMWI hutegemea sana uwezo wa kijana katika kufanya maamuzi.

6. Stadi za kuhimili mihemko Humpa kijana uwezo wa kuikabili na kuihimili mihemko itokanayo

6. Stadi za kuhimili mihemko Humpa kijana uwezo wa kuikabili na kuihimili mihemko itokanayo na hisia zilizomo mwilini mwake, au zile ambazo angeshawishiwa na wenzake.

7. Stadi za kuhimili msongo Humpa uwezo kijana kukabili msongo wa mawazo, matatizo na

7. Stadi za kuhimili msongo Humpa uwezo kijana kukabili msongo wa mawazo, matatizo na kumwepusha na maamuzi kama ya kunywa sumu, kukimbilia mitaani ama kujiingiza kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.

8. Stadi za uyakinifu Humwondoa kijana katika fikra mgando, zimfanyazo kung’ania mazoea na hata

8. Stadi za uyakinifu Humwondoa kijana katika fikra mgando, zimfanyazo kung’ania mazoea na hata mila na desturi zenye madhara kiafya. Uyakinifu humpa kijana uwezo wa kuwa na mwamko katika suala zima la ujinsia na jinsia, pamoja na kuondoa hofu, ukanaji na unyenyepa katika VVU na UKIMWI. Hii ni mbinu muafaka katika kubadilisha mtazamo wa kijana.

9. Stadi za Ubunifu Humjengea kijana uwezo wa kutumia akili yake vizuri, pamoja na

9. Stadi za Ubunifu Humjengea kijana uwezo wa kutumia akili yake vizuri, pamoja na kuongeza uwezo wake wa kufikiri haraka. Hii inamtayarisha kijana hasa katika mazingira ya hatari ambayo hutokea ghafla, katika upenyo mwembamba.

10. Stadi za Ushirikeli Humpa kijana mbinu za kuyatazama matatizo ya watu wengine kwa

10. Stadi za Ushirikeli Humpa kijana mbinu za kuyatazama matatizo ya watu wengine kwa macho yao, ama kujiweka katika nafasi za watu wengine, matokeo yake akawa na mtazamo wa kuheshimu mawazo ya watu wengine, kukubali kutokubaliana na bila kuzua ugomvi na wengine.

KUMUDU SHUGHULI ZA UELIMISHAJI RIKA

KUMUDU SHUGHULI ZA UELIMISHAJI RIKA

KUMUDU SHUGHULI ZA UELIMISHAJI RIKA • Mipango madhubuti, utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya shughuli

KUMUDU SHUGHULI ZA UELIMISHAJI RIKA • Mipango madhubuti, utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya shughuli itawezekana iwapo tu kuna takwimu sahihi na za kutosha. Ili kuweza kutoa huduma bora za afya ya uzazi kwa vijana, mwelimishaji rika atatakiwa kukusanya, kuchambua kutuma na kutumia takwimu na taarifa mbali. Pia anapaswa kutoa mrejesho kwa wadau mbali wa afya ya uzazi kwa vijana.

Kupanga • Ni njia ya kuandaa shughuli ili zifikie lengo lililokusudiwa.

Kupanga • Ni njia ya kuandaa shughuli ili zifikie lengo lililokusudiwa.

Sababu ya kupanga • Inasaidia kutambua mahitaji na kuamua shughuli gani zifanyike. Hivyo unapopanga

Sababu ya kupanga • Inasaidia kutambua mahitaji na kuamua shughuli gani zifanyike. Hivyo unapopanga lazima uhusishe mambo yafuatayo: Walengwa ni nani, lini utaanza shughuli hizo, nyenzo au msaada unaohitajika, nani atakuwa msimamizi.

Kutengeneza Andalio la Utekelezaji • Unaanza kuchora andalio lako la utekelezaji kwa kila siku,

Kutengeneza Andalio la Utekelezaji • Unaanza kuchora andalio lako la utekelezaji kwa kila siku, kila wiki au kila robo mwaka, kati ya mwaka au mwaka. Andalio hilo lazima lionyeshe kitendo chenyewe, pahali, nyenzo zitazohitajika na tarehe ya utekelezaji.

Ukusanyaji wa Taarifa za Afya ya Uzazi kwa Vijana Unasaidia: • Kuongeza ufanisi wa

Ukusanyaji wa Taarifa za Afya ya Uzazi kwa Vijana Unasaidia: • Kuongeza ufanisi wa kupanga, kuandaa, kutekeleza na kufatilia. • Kutoa muongozo wa kutathmini matokeo. • Kuonyesha mapungufu katika shughuli. • Nyenzo za usaidizi za baadae na kutafuta mahitaji ya vifaa na zana nyinginezo kama vile kondom. • Kutafuta makundi mbali yanayohitaji huduma kama vile wasichana, wavulana, vijana walio kwenye mazingira hatarishi.

Hatua za ukusanyaji wa taarifa: • Utambuzi wa shughuli zinazohitaji kutekelezwa • Kutengeneza nyenzo

Hatua za ukusanyaji wa taarifa: • Utambuzi wa shughuli zinazohitaji kutekelezwa • Kutengeneza nyenzo na vitendea kazi vya kukusanyia taarifa • Kujaza na kuzihifadhi taarifa • Kupeleka nakala kwa wahusika • Kuweka kumbu • Kutumia takwimu na taarifa kwenye kupanga shughuli na kufikia maamuzi

Majumlisho ya Taarifa: • Majumulisho ya taarifa ya kila mwezi yanaweza kupatikana kwenye kitabu

Majumlisho ya Taarifa: • Majumulisho ya taarifa ya kila mwezi yanaweza kupatikana kwenye kitabu cha kumbu ambacho muelimishaji rika anakijaza kila mwaka.

Uwekaji wa kumbu Kusanya na tunza takwimu na kumbu kulingana na makundi. Makundi hayo

Uwekaji wa kumbu Kusanya na tunza takwimu na kumbu kulingana na makundi. Makundi hayo yanaweza kuwa ni: • Idadi ya wanarika uliowahudumia • Eneo analotoka mwanarika • Umri • Jinsia • Aina ya huduma ulizotoa • Rufaa

Hitimisho • Sambamba na takwimu, pia andaa maelezo kuhusu mambo mengine kama vile maoni

Hitimisho • Sambamba na takwimu, pia andaa maelezo kuhusu mambo mengine kama vile maoni ya wanarika kuhusu huduma unazotoa, matatizo uliyokutana nayo na mafanikio uliyopata. Kumbuka kutoa mrejesho kwa wadau wote ikiwemo jamii unamofanyia kazi.

Na SHUGHULI MUDA KIASHIRIA MAHITAJI

Na SHUGHULI MUDA KIASHIRIA MAHITAJI

AHSANTE

AHSANTE