Bodi ya Kahawa Tanzania Hali ya Sekta ya
Bodi ya Kahawa Tanzania Hali ya Sekta ya Kahawa Tanzania Mkutano Mkuu wa Nane wa Wadau wa Kahawa Primus Kimaryo Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Kahawa Tanzania Mei 2017
Utangulizi Bodi ya kahawa • Imeundwa wa sheria na 23 ya mwaka 2001 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Mazao na 20 ya 2009 • Kazi ya Msingi, pamoja na majukumu mengine ni kusimamia sekta ndogo ya kahawa. • Vile vile kuratibu majukumu shirikishi ya wadau wa kahawa ambayo ni; – – – Uzalishaji Utafiti Ugani Uendelezaji masoko Ubora wa kahawa Upatikanaji wa pembejeo, nk.
Ugharamiaji wa Shughuli za Bodi • Jukumu la usimamizi wa sheria linatekelezwa na Bodi kwa kugharamiwa na serikali kwa asilimia 100. • Majukumu shirikishi (shared function) yanatekelezwa kugharamiwa na wadau wote wakiwemo Halmashauri za Wilaya, mashirika binafsi, vyama vya ushirika, n. k.
Hali ya Uzalishaji Duniani • Uzalishaji duniani kwa msimu wa 15/16 ulifikia magunia milioni 151. 624. Ongezeko la 0. 186 mnb • Kahawa duniani huingia sokoni katika makundi manne; – Kundi la Aprili; uzalishaji magunia milioni 71. 515 • Nchi za Rwanda, Burundi, Brazil – Kundi la Julai: Uzalishaji magunia milioni 1. 855 • Nchi za Tanzania, DRC, Zambia, Cuba – Kundi la Oktoba: Uzalishaji magunia milioni 78. 254 • Nchi za Kenya, Uganda
Uzalishaji Nchini 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 Mkoa/Mwaka Arusha Iringa Kagera Katavi Kigoma Kilimanjaro Manyara Mbeya Morogoro Mwanza Njombe Ruvuma Songwe Tanga Total 2015/16 2, 353 58 24, 443 2 1, 094 3, 314 27 670 1, 816 7 5 119 13, 693 12, 405 182 60, 188. 0 2016/17 1, 764 5 20, 023 2 1, 101 2, 847 18 517 2, 141 9 7 86 10, 855 7, 540 49 46, 963. 5 %(2016/17) 3. 8% 0. 01% 42. 6% 0. 00% 2. 3% 6. 1% 0. 04% 1. 10% 4. 6% 0. 02% 0. 01% 0. 18% 23. 1% 16. 1% 0. 10% 100%
Hali ya Uzalishaji Nchini 80, 000. 0 71, 319. 1 68, 933. 7 60, 000. 0 60, 188. 0 56, 790. 0 50, 000. 0 48, 761. 9 46, 963. 5 42, 768. 0 44, 744. 8 40, 000. 0 35, 667. 9 30, 000. 0 33, 086. 7 20, 000. 0 10, 000. 0 7 /1 20 16 6 /1 20 15 5 /1 14 13 20 MSIMU 20 /1 4 3 /1 20 12 2 /1 11 20 20 10 /1 1 0 /1 20 09 9 /0 08 20 07 /0 8 0. 0 20 UZALISHAJI KAHAWA SAFI (TANI) UZALISHAJI KAHAWA 2007 - 2017
Matarajio ya Uzalishaji 2017/18 Matarajio Msimu ujao 2017/18 uzalishaji utapungua hadi tani 43, 000
Soko la Kahawa Soko la kahawa la dunia ndio soko rejea kwa kahawa zinazozalishwa nchini (NYC/ICE)
Moshi Auction World Market
Bei ya Mkulima • Kutokana na mwendendo wa soko, wakulima waliouza wakati bei ni nzuri sokoni walipata wastani wa Shs 5, 000 • Wastani wa bei kwa msimu ni shs 4, 000 kwa kahawa za Arabika • Kwa kahawa za robusta wakuliwa walilipwa wastani wa Shs 1, 400 kwa kilo ya Maganda. • Pamoja na bei ya kuridhisha iliyokuwepo sokoni baadhi ya wakulima hawakufaidika na bei kwa kuwa wananunua badala ya kukusanya kwa wanachama na hivyo kutozingatia ubora na kushindwa kupata faida ya kuongeza thamani masoko ya juu.
Ubora wa Kahawa za Arabika POOR (13 -17) 15. 86% FAIR (9/11) 20. 27% 19. 43% FAQ (7/9) Fine (1 -3) TRIAGE 24. 18% FAQ- (8/10) FAQ+ (4/6) Kahawa za Robusta 12. 19% 3. 31% UG 17. 68% 41. 98% FAQ Super. Ior Screen 18 27. 58% 6. 82% 8. 07% Organic 2. 63%
4 04 /0 20 5 05 /0 20 6 06 /0 20 7 07 /0 20 8 08 /0 20 9 09 /1 20 0 10 /1 20 1 11 /1 20 2 12 /1 20 3 13 /1 20 4 14 /1 20 5 15 /1 20 6 16 /1 7 20 /0 03 20 Mauzo na Mapato 250, 000 TOTAL PROD 200, 000 REVENUE '000($) 150, 000 100, 000 50, 000 0
Jumla Mgawanyo wa Mauzo 19, 778, 284 Kilo 670, 526 46, 836, 879 Mnadani Moja kwa moja 26, 388, 069 25, 933, 884 18, 598, 244 Kilo 424, 440 6, 911, 160 Jumla Robusta Hard Arabica Mild Arabica 20, 903, 035 1, 180, 040 246, 086 Kilo 19, 476, 909 0 10, 000 20, 000 30, 000 40, 000 50, 000
Moja kwa moja Mtiririko wa Bei Robusta Arabika Ngumu Arabika laini Mnadani Robusta Arabika Ngumu Arabika laini 0 1 Arabika 2 Arabika laini Ngumu Bei ya juu 5. 06 3. 04 Bei ya wastani 3. 13 2. 26 3 Robusta 4 5 Arabika laini 3. 38 1. 73 7. 3 3. 87 Arabika 6 Ngumu 3. 32 2. 93 7 8 Robusta 3. 33 1. 91
23% Wauzaji Mnadani: 2016/17 Wanunuzi Mnadani 19% 14% Mashamba Makubwa 6% 10% 87% 2% 1% 1% 1% (T m ) Lt d an (T. ) L En td ge. Ka lh C o ar ge ta t ra C CTP cof oo pe (T) Lt ra Sc Sh tive d. al U ab erif f D ni. . le P ac ew. M am e In ji Lt d. v bo C estm of e fe e nt (T ) CE Ltd. . TC O L W TD. en gin eo ) L o Do r 15% Wengineo Dan & Associates Enterprises Ltd. Aviv Tanzania Ltd. Tutunze Kahawa Ltd. Kaderes Peasant Development Ltd. Coffee Management Services (T) Ltd. Tembo Coffee Co. Ltd. Karagwe District Coop. Union Ltd. Wauzaji Direct Export 3% er (T Ib in ch Ta ylo Vikundi vya wakulima 32% 4% td. Wanunuzi Binafsi 39% r W Vyama vikuu vya ushirika/A MCOS/RCS 23% 21% Export Trading Co. Ltd. Olam (T) Ltd. Karagwe Estates Ltd. 1% 2% 3% 3% 4% 5% 6% 10% 18% 60% 32%
Nchi Zinazotumia Kahawa yetu Marekani (USA); 10. 86% Ubelgiji ; 9. 41% Sweden; 3. 06% Korea Kusini; 2. 13% Australia; 1. 29% Finland; 2. 04% India; 2. 04% Ufaransa; 1. 60% Israel; 2. 03% Canada; 1. 71% Ujerumani; 11. 32% Other; 8. 28% Japan; 16. 89% Urusi; 1. 93% Italia; 25. 18% Africa ya Kusini; 1. 75% Masoko Mapya: India, Urusi, Afrika Kusini na Australia Soko la ndani ni asilimia 5 - 7
Mkakati wa Maendeleo ya kahawa 2011/2021 • Mwaka 2011 wadau walipitisha mkakati wa miaka 10 wa maendeleo ya kahawa • Lengo kuu lilikuwa ni – Kuongeza uzalishaji hadi kufikia tani 80, 000 mwaka 2017 na tani 100, 000 mwaka 2021 • Lengo hilo halijafikiwa • Mkakati huu unafanyiwa marejeo ya muda wa kati na taarifa ya mshauri mwelekezi itawasilishwa – Kujua ni wapi tumejikwaa na tujipange upya
Changamoto za Uzalishaji • Bado tija ya uzalishaji ni ndogo inayosababishwa na matumizi kidogo ya pembejeo hususan mbolea • Kasi ndogo ya kupokea matokeo ya utafiti • Mabadiliko ya tabianchi yamesababisha mvua zisizo na mpangilio • Uwekezaji mdogo ikilinganishwa na malengo na mkakati wa kahawa 2011 -2021
Changamoto za Ubora • Vikundi na vyama vya wakulima vinanunua kahawa badala ya kukusanya kwa wanachama hivyo kushindwa kudhibiti ubora. • Licha ya juhudi za Serikali kuwezesha wakulima CPU (ADSP), mashine nyingi hazifanyi kazi • Biashara ya ‘magoma’ na ‘butura’ – kuuza kahawa ikiwa bado shambani
Changamoto za Masoko • Kuyumba kwa uzalishaji na ubora kunaathiri bei ya mkulima • Soko la mnada kumilikiwa na makampuni machache ya nje • Kupungua kwa kiasi cha kahawa kinachopelekwa mnadani
Changamoto za Masoko. . 2 • Soko la DE ambalo lilianzishwa kwa ajili ya kumsaidia mkulima kwa kuuza kahawa za ubora wa juu linatumiwa kiasi kikubwa na makampuni yanayonunua kahawa vijijini – Wengi wanaomba madaraja yote yaruhusiwe – Dirisha hili sio mbadala wa Mnada. – Vyama vya ushirika vimepata changamoto ya kutekeleza mikataba ya uuzaji nje ya nchi
Changamoto za Sekta • Ukusanyaji ushuru – Bodi inaingia mikataba na H/Shauri kukusanya ushuru baada ya kupata maombi kutoka wizara ya viwanda – Halmashauri nyingi na baadhi ya mikoa imegawanyika na hivyo ugumu wa upatikanaji wa takwimu – Halmashauri kutoa vibali vya ununuzi vijijini kama chanzo cha mapato na hivyo kuwa na utitiri wa wanunuzi
Changamoto za Sekta. . 2 Bado matumizi ya CPU yapo chini Uchanganyaji wa kahawa zenye ubora tofauti Kutegemea soko la nje (>90%) Gharama za uongezaji thamani wa zao: kutokana na kuwa na uzalishaji kidogo na kwa ubora unaotofautiana mara kwa mara. • Uwekezaji kidogo kwenye uzalishaji kutoka taasiosi za fedha • •
FURSA BADO IPO! • Uzalisaji kibiashara – Kulima kisasa – Maeneo ya uzalishajib • Kujikinga na Bei – Kuwakwamua wakulima na vyama vyao – Kuongeza thamani ya zao • Soko la ndani – Tanzania ya viwanda – Fursa ya kuongeza ajira na kupambana na kuyumba kwa soko – Kunufaika na kinywaji cha kahawa • Uwekezaji wa kutosha – Halmashauri ziwekeze kwenye kahawa – Kuwa na mpango kabambe wa kilimo cha kahawa
ASANTENI SANA Kwa maelezo zaidi wasiliana na ; Mkurugenzi Mkuu, Bodi ya Kahawa Tanzania Box 732, Moshi Tanzania info@coffeeboard. or. tz www. coffeeboard. or. tz
- Slides: 26