STADI ZA RAMANI By Paul Meela Maana ya

STADI ZA RAMANI By Paul Meela

Maana ya ramani Ni kiwakilishi cha sehemu au sehemu yote ya uso wadunia kwenye uso bapa kwa kutumia skeli au kipimio.

Zipo aina mbili za ramani 1. Ramani zinazoonyenya mtawanyiko wa watu kwenye uso wa dunia. statistical maps. 2. Ramani zinazoonyesha maumbile ya asili na yakuundwa.

Mambo ya msingi katika ramani 1. Kichwa cha ramani kuonyesha ramani inahusu nini. 2. Dira kuonyesha uelekeo wa ramani 3. Kipimio au skeli kuonyesha uwiano wa umbali katiak ramani na umbali halisi kwenye uso wadunia. 4. Ufunguo kutafsiri alama zilizoko katika ramani. 5. Mipaka kuonyesha eneo lililokusudiwa.

Namana ya kuonyesha mahali katika ramani 1. Kwakutumia majina. mfano kenya, tanzania nk 2. Kwa kutumia mistari ya latitude na longitudo. mf lat 24 long 34 3. Kwa kutumia pande kuu za dira. mf kask. mash, magh 4. Kwa kutumia nyuzi bearing. nyuzi 30 5. Kwa kutmia mistari ya gridi/miraba fito mistari ya ulalo huengezeka kuelekea kaskazini. 6. Mistari ya wima huengezeka kuelekea mashariki.

SIFA ZA RAMANI 1. Ramani hutumia viashiria au alama vinavyowakilisha sura au vitu halisi. 2. Ramani hutumia skeli 3. Ramani huonyesha muonekano wa juu wa kitu. 4. Ramani huonyesha vitu muhimu vinavyohitajiaka.

Kuna aina mbali za ramani 1. Ramani rahisi. 2. Projected map huchorwa kw akuzingatia 3. Ramani zinazoonyesha takwimu kwa ajili ya hali ya hewa.

VITU VINAVYO WAKILISWA KWENYE RAMANI a. b. c. d. Uoto wa asili Makazi Mtiririko wa maji Shughuli za kibinadamu, Kiuchumi, ufugaji, kilimo, uchimbaj i wa majini Kijamii-shule, zahanati
- Slides: 8