MSINGI WA UMOJA Somo kwa ajili ya Oktoba
MSINGI WA UMOJA Somo kwa ajili ya Oktoba 27, 2018
FUNGU KIONGOZI “akiisha kutujulisha siri ya mapenzi yake, sawa na uradhi wake, alioukusudia katika yeye huyo. Yaani, kuleta madaraka ya wakati mkamilifu atavijumlisha vitu vyote katika Kristo, vitu vya mbinguni na vitu vya duniani pia. Naam, katika yeye huyo ” (Waefeso 1: 9 -10)
Umoja ni moja ya mada ambazo Paulo anaandika katika nyaraka zake kwa waefeso. Watu wa rangi na tamaduni tofauti walikiuwa sehemu ya kanisa huko Efeso. Paulo aliwafundisha msingi wa Umoja, ili wafanye kazi pamoja. Umoja huhusisha Nyanja zote za maisha. Msingi wa umoja Umoja katika Krsito. Waefeso 1: 3 -14. Umoja pasi na mipaka. Waefeso 2: 11 -22. Nyanja za Umoja Kanisa na umoja. Waefeso 4: 1 -6. Viongozi wa kanisa na umoja. Waefeso 4: 11 -12. Mahusiano na umoja. Waefeso 5: 15 -6: 9.
UMOJA KATIKA “Yaani, kuleta madaraka ya wakati mkamilifu atavijumlisha KRISTO vitu vyote katika Kristo, vitu vya mbinguni na vitu vya duniani pia. Naam, katika yeye huyo. ”(Waefeso 1: 10) Mungu anataka kuziba ufa ulioletwa na dhambi, ili wanawe wote wawe wamoja tena katika Kristo. Hadi sasa, Mungu aliamua kutuasili kama Watoto wake. Tukawa sehemu ya familia yake (fg. 5) Hii humaanisha kuwa, kila mmoja amewekewa hatima ya wokovu (Yohana 3: 16; 1 Timotheo 2: 6; 2 Petro 3: 9) Tunapoipokea hatima hii ya wokovu, Mungu hutupatia Roho Mtakatifu kama dhamana ya
UMOJA PASI NA MIPAKA “Kwa maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga. ”(Waefeso 2: 14) Mungu alifanya agano la ahadi na wa Israeli na kuwapa tohara kama ishara ya agano. Israeli hawakuishiriki ahadi hii na wengine badala yake walijenga ukuta zuizi ili kuwatenga mataifa. . Kulikuwa na ishara kuu hekaluni zilizowazuia wasio Wayahudi kuingia sehemu zilizotengwa kwa ajili ya Wayahudi. Msalaba uliangusha kila ukuta, ukikomesha utengano. Ukiwatahiri wayahudi na mataifa kwa tohara ya Tu watu wa moja, tuliounganisha moyoni. katika “Hekalu takatifu” “kwa Roho moja” (fg. 21, 18)
KANISA NA UMOJA “na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani. ”(Waefeso 4: 3) Tumeitwa kushirikiana ili kuleta umoja wa Kristo kanisani. Je; nini tunaweza kufanya katika mwelekeo 1. Ni Enenda kwa heshima huo (fg. 1 -3)? 2. Mchukuliane kwa unyenyekevu na upole 3. Mruhusuni Roho Mtakatifu atende ili kudumisha amani Je; Ni kipi kati ya mambo haya saba huwaweka waumini pamoja (fg. 4 -6)? Mwili mmoj a Roho mmoj a Tumai ni moja Bwan a mmoj a Ima ni moja Ubatiz o mmoja Mungu mmoja na Baba wa wote
VIONGOZI WA KANISA NA “Naye alitoa wengine kuwa mitume, na UMOJA wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe; . ” (Waefeso 4: 11 -12) Paulo aliorodhesha aina tano za karama zinazowawezesha viongozi kuliongoza kanisa katika malengo mahususi : 1. mawili Kuwaanda watakatifu kwa ajili ya kazi ya utume. Kumsaidia kila mshiriki kuhubiri injili. 2. Kuujenga mwili wa Kristo. Kuhamasisha umoja katika Christo. Mungu hutoa karama hizi kwa watu maalumu. Watu hawa wameitwa kuwahudumia wengine na kushirikiana na wengine (Marko
MAHUSIANO NA UMOJA “hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo. ” (Waefeso 5: 21) Paulo anatuhimiza “tujazwe na Roho” (fg. 18). Tutaunganishwa katika Roho kwa kunyenyekeana. Hii huhusisha nyaja tatu za maisha: Mahusiano ya kijamii : • Mazungumzo yetu hujikita kwa Mungu kwa furaha na roho ya kunyenyekea (5: 19 -21) Mahusiano ya kifamilia : • Upendo wa Kristo usio na ubinafsi na heshima huoneshwa katika ndoa na kati ya wazazi na Watoto (5: 22 -6: 4) Mahusiano kazini : • Mameneja na waajiriwa wanaheshimiana, kwa sababu sote tu sawa mbele za Mungu (6: 5 -9)
“Mungu anatukuzwa na nyimbo zitokazo katika moyo safi uliojaa upendo na kujitoa Kwake. Waumini waliotakaswa wanapokusanyika, mazungumzo yao hayatakuwa juu ya mapungufu ya wengine au yenye ladha ya manung’uniko au lawama; upendo, muunganiko wa ukamilifu, vitawazunguka. Upendo kwa Mungu na kwa wanadamu wenzao hububujika kwa asili katika maneno ya upendo, huruma, na kuguswa na mizigo yao. Amani ya Mungu hutawala mioyo yao; maneno yao sio tupu na mepesi, bali yenye kufariji na kuwajenga wengine. ” E. G. W. (Testimonies for the Church, vol. 1, cp. 86, p. 509)
- Slides: 9