Lesoni ya 7 kwa ajili ya Agosti 18

  • Slides: 10
Download presentation
Lesoni ya 7 kwa ajili ya Agosti 18, 2018

Lesoni ya 7 kwa ajili ya Agosti 18, 2018

4. Ikonia. Matendo 14: 1 -7 v Kutumikia Israeli 5. Listra na Derbe. Matendo

4. Ikonia. Matendo 14: 1 -7 v Kutumikia Israeli 5. Listra na Derbe. Matendo 14: 8 -20 v Kutumika kati ya wa Mataifa 1. Antikia. Matendo 13: 1 -3 v Kuiandaa Safari 3. Pisidia ya Antiokia. Matendo 13: 13 -52 v Mahubiri ya Paulo v Hisia ibuka za wayahudi na wamataifa 6. Kurudi Antiokia. Matendo 14: 21 -28. v Kuimarisha Makanisa 2. Salami na Pafo. Matendo 13: 4 -12 v Elima and Sergio, Upinzani na uongofu Katika mpango wa Mungu, iliwadia saa Sauli angelihubiri injili na kujenga Makanisa mapya kote katika himaya ya Rumi.

Mdo 13: 1 -3 KUIANDAA SAFARI “Basi hawa walipokuwa wakimfanyia Bwana ibada na kufunga,

Mdo 13: 1 -3 KUIANDAA SAFARI “Basi hawa walipokuwa wakimfanyia Bwana ibada na kufunga, Roho mtakatifu akasema Nitengeeni Barnaba na Sauli kwa kazi ile niliyowaitia. ’” (Matendo 13: 2) Yesu tayari alikuwa ametangulia kumuarifu Paulo kuhusu umisionari wake wa kuwahubiria wamataifa. (Matendo 22: 21). Hata hivyo, alisubiri dhihirisho la wazi kutoka kwa Roho Mtakatifu mara atakapoanza kazi hiyo. Baada ya mda wa maombi na kufunga, Roho Mtakatifu aliamrisha Kanisa kule Antiokia kuwatuma timu ya kwanza ya umisionari: Barnaba na Sauli. Kanisa liliwapa uwezo wa huduma hiyo ya umisionari kwa kuwawekea mikono. Barnaba aliongoza timu kwanza, kisha sikitambo sana naye Sauli alianza kuchukua hatamu ya uongozi katika safari hii ya umisionari. Hatimaye aliitwa Paulo kuanzia Matendo 13: 9 na kuendelea.

Mdo 13: 4 -12 UPINZANI NA UONGOFU “Ndipo yule liwali, alipoyaona yaliyotndeka, akaamini akiyastaajabia

Mdo 13: 4 -12 UPINZANI NA UONGOFU “Ndipo yule liwali, alipoyaona yaliyotndeka, akaamini akiyastaajabia mafundisho ya Bwana. ” (Matendo 13: 12) Roho Mtakatifu alimuongoza Paulo, Barnaba na Yohana mpaka Seleukia ambapo waliabiri mashua kwenda Kipro. Barnaba ni mzaliwa wa Kipro, na pale ndipo mojawapo ya sehemu za kwanza wakristo kuihubiri injili. Watu kutoka Kipro ndiwo wa kwanza kuwahubiria wamataifa kule Antiokia (Matendo 11: 19 -20) Elima alikuwa Mchawi myahudi aliyewapinga pale. Liwali Sergio Paulo , alishikwa na ari ya kuifahamu injili. Hatimaye aliikubali injili baada ya Elima kupofuka mbele ya Paulo. .

Acts 13: 13 -52 “Nasisi tunawahubiri habari njema ya ahadi ile waliyopewa mababa, .

Acts 13: 13 -52 “Nasisi tunawahubiri habari njema ya ahadi ile waliyopewa mababa, . ” (Matendo 13: 32) Waliondoka Kipro na kuelekea Perge; kisha Pisidia ya Antiokia (Uturuki). Yohana aliwaacha pale Perge, maana alihofu na changamoto walizokumbana nazo safarini. Walialikwa kuhubiri katika sinagogi la Antiokia sabato ya kwanza. Paulo alihubiri vipengele vitatu: Mungu aliongoza watu wake toka Misri had kuufikia wakati wa Daudi (f. 17 -22) Yesu alitimiza unabii kumhusu masihi (f. 23 -37) Paulo liwaalika watu kukubali wa Yesu (f. 38 -41)

HISIA IBUKA ZA WAYAHUDI NA WATU WA MATAIFA “Na walipokuwa wakitoka, wakawasihi waambiwe maneno

HISIA IBUKA ZA WAYAHUDI NA WATU WA MATAIFA “Na walipokuwa wakitoka, wakawasihi waambiwe maneno haya sabato ya pili. ” (Matendo 13: 42) Kulikuwa na wamataifa kwenye sinagogi Paulo alipohubiri. Walikuwa bado kukubali kikamilifu dini ya kiyahudi, pengine labda walishurutishwa watahiriwe. Walishiriki habari njema pamoja na jamaa zao na marafiki. Sabato iliyofuata, “karibu mji wote wakakusanyika” ili kusikiliza Paulo akihubiri. Wayahudi waliona wivu maana wamataifa aliikubali injili; hivyo wakawafukuza Paulo na Barnaba kutoka ule mji.

Matendo 14: 1 -7 KUTUMIKIA ISRAELI “Lakini jamii ya watu wa mjini wakafarakana; hawa

Matendo 14: 1 -7 KUTUMIKIA ISRAELI “Lakini jamii ya watu wa mjini wakafarakana; hawa walikuwa upande wa Wayahud na hawa upande wa Mitume. ” (Matendo 14: 4) Mitume walifika Ikonia na kutumia mbinu ile walioitumia kule Antiokia, kuwahubiria Wayahudi kwanza. Ikatukia kwamba, “kundi kubwa la Wayahudi na Wayunani wakaamini. ” Wayahudi wasioamini wakawataharakisha watu wa Mataifa na kuwatia nia mbaya tena. Paulo na Barnaba iliwabidi kuukimbia mji ule kuepuka kushambuliwa! Wengi wa Wayahudi waliikataa Injili, lakini Paulo hakukata tamaa kwamba wengi wa Wayahudi wangemkubali Yesu. (Warumi 9 -11)

KUTUMIKA KATI YA WATU WA “Na mkutano walipoona aliyoyafanya. MATAIFA Paulo wakapaza sauti zao,

KUTUMIKA KATI YA WATU WA “Na mkutano walipoona aliyoyafanya. MATAIFA Paulo wakapaza sauti zao, wakisema kwa Mdo 14: 8 -20 Kilikaonia, Miungu wametushukia kwa mfano wa wanadamu! Wakamwita Barnaba Zeu, na Paulo, Herme, kwa sababu ndiye aliyekuwa mnenaji. ” (Matendo 14: 11 -12) Safari ilindelea hadi maeneo ya Listra na Derbe. Huko Listra, Paulo alikutana na kilema aliyekua na imani na hata kupona. Wa. Ikonia walipoona muujiza walidhani Paulo na Barnaba ni miungu mfano wa mwanadamu. Mitume walipoelewa hali ilivyo walikimbia angalau kuwazuilia kutoa kafara. Wayahudi wengine toka Antiokia na Ikonia, walitumia nafasi ile kuwataharakisha watu wa Mataifa ili kuwashambulia Mitume. Ingawa Paulo alipigwa mawe, alinusurika kimuujiza.

Mdo 14: 21 -28 KUYAIMARISHA MAKANISA “Hata walipokwisha kuihubiri Injili katika mji ule, na

Mdo 14: 21 -28 KUYAIMARISHA MAKANISA “Hata walipokwisha kuihubiri Injili katika mji ule, na kupata wanafunzi wengi, wakarejea mpaka Listra na Ikonia na Antiokia. ” (Matendo 14: 21) Safari ilipohitimu, walirudi njia ile waliopita kwanza. Mbona wasingerudi moja kwa moja Antiokia? Walitaka kuimarisha makanisa yale mapya kwa kuwatia moyo na kuwajenga kiroho waumini wapya. 1. 2. 3. 4. Waliwaonya kuhusu changamoto siku za usoni. Wakachagua wazee. Waliomba na kufunga pamoja nao. Waliwaweka wakfu kwa Bwana. Kule Antiokia, waliwaeleza Kanisa mambo yote Mungu aliyoyafanya pamoja nao katika safari yao. Waumini wote wakafurahia pamoja.

“Paulo hakuyasahau makanisa aliyoyaanzisha. Baada ya kuhitimisha safari yao ya umisionari, yeye na Barnaba

“Paulo hakuyasahau makanisa aliyoyaanzisha. Baada ya kuhitimisha safari yao ya umisionari, yeye na Barnaba walirudi njia ileile, wakipita makanisa waliyoanzisha, wakiteuwa watu ambao wangewafundisha kujiunga na kutangaza Injili. […] Mtume alifanya kazi ya kufundisha vijana kuhudumu, kama sehemu ya kazi yake. […] Watenda kazi leo wafanya jambo la busara kuwafundisha vijana na kuwajukumisha, badala ya kuubeba mzigo huu wa huduma peke yao. ” E. G. W. (Matendo ya Mitume, sura. 34, uk. 367 -368)