POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY

  • Slides: 30
Download presentation
POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED REGISTRATION DSR 118 P. O.

POSTA NA SIMU SAVINGS AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED REGISTRATION DSR 118 P. O. BOX 3948 DAR ES SALAAM TANZANIA

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA WA TAWI DAR ES SALAAM UKUMBI WA KARIMJEE TAREHE

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA WA TAWI DAR ES SALAAM UKUMBI WA KARIMJEE TAREHE 14. OKTOBA. 2012

NA D. F. NGALAWA Manager - Posta na Simu Saccos Ltd. MEED(udsm), PGDBA DIRECTOR

NA D. F. NGALAWA Manager - Posta na Simu Saccos Ltd. MEED(udsm), PGDBA DIRECTOR White angels Primary school Bright Angels High School Lupingu Teachers college Proposed Ludewa Health college

Agenda v Utambulisho v Utangulizi v Madhumuni ya somo v Yaliyomo v. Namna ya

Agenda v Utambulisho v Utangulizi v Madhumuni ya somo v Yaliyomo v. Namna ya mafunzo v. Majadiliano na kazi katika vikundi

kujitambulisha v v v Viongozi wa Chama Secretariat Washiriki Wataje pia Biashara walizonazo au

kujitambulisha v v v Viongozi wa Chama Secretariat Washiriki Wataje pia Biashara walizonazo au Wazo la biashara

Utangulizi v - Baada ya mada, washiriki watakuwa: Wameelewa maana ya ujasiriamali Wana tabia

Utangulizi v - Baada ya mada, washiriki watakuwa: Wameelewa maana ya ujasiriamali Wana tabia za kijisiriamali Wanamabadiliko Jasiri Wapo tayari kuanzisha au kuboresha biashara Tayari kufanya mabadiliko ili kuendesha chama kisayansi Tayari kushuhudia mabadiliko kt chama

Madhumuni ya Mada v v v Kutoa elimu ya ujasiriamali na kuwahamasisha washiriki kuanzisha

Madhumuni ya Mada v v v Kutoa elimu ya ujasiriamali na kuwahamasisha washiriki kuanzisha au kuendeleza biashara zao Kuhamasisha na kuwashirikisha wanachama mabadiliko ya kimtazamo na fikra Kuzitambua tabia za kijasiria mali Kuhusianisha ujasiriamali na maendeleo ya chama Kutambua changamoto za chama na za wanachama za kijasiriamali

Yaliyomo ndani ya mada v v Maana ya ujasiriamali, tabia za kijasiria mali, namna

Yaliyomo ndani ya mada v v Maana ya ujasiriamali, tabia za kijasiria mali, namna ya kuanzisha, kuendeleza na kurithisha biashara Mahitaji ya mabadiliko ya fikra, dira na mtazamo wa wanachama na mipango Namna ya kuwa mwanamabadiliko mzuri na majukumu ya mwanamabadiliko Namna ya kukiendeleza chama kwa kuanza na maendeleo ya mwanachama

Jinsi Mada Itakavyoende…. v v v Washiriki watashirikishwa kuchangia mada Majadiliano yatafanyika mara kwa

Jinsi Mada Itakavyoende…. v v v Washiriki watashirikishwa kuchangia mada Majadiliano yatafanyika mara kwa mara Vikundi vitapewa kazi ya kufanya Uzoefu na mifano mbali itatolewa Kushiriki mafunzo ya ujasiria mali wakati wa mada na baada ya mada Kuchagua na kuamua biashara au mradi wa kufanya baada ya mafunzo

Maana ya Ujasiriamali v v Ujasiriamali maana yake ni; Kitendo cha kuanzisha, kuendesha, kufanya

Maana ya Ujasiriamali v v Ujasiriamali maana yake ni; Kitendo cha kuanzisha, kuendesha, kufanya biashara ndogo, kwa kujitegemea, Pia, kuimiliki na mwenye biashara kuwa ni mmiliki na mtendaji au meneja wa biashara yako. Kuanzisha na kufanya bisahara kijasiriamali, Kuzingatia tabia za kijasiriamali, siyo kufanya biashara kiholela au bila utaratibu

Tabia za kijasiriamali v v v v Kuipenda na kuifurahia biashara Kuwa na malengo

Tabia za kijasiriamali v v v v Kuipenda na kuifurahia biashara Kuwa na malengo ya kukuza biashara Kuwa na malengo ya muda mfupi na muda mrefu Kuwa na mikakati mizuri Kuwa mbunifu na kujitegemea Kuwa na ari na jasiri wa kuthubutu Kuwa na mtandao wa watu wengi Kufanya kazi kwa bidii

KAZI ZA VIKUNDI DK 10 v 1. 2. Kila kikundi kiainishe: Maeneo kumi ambayo

KAZI ZA VIKUNDI DK 10 v 1. 2. Kila kikundi kiainishe: Maeneo kumi ambayo pesa za mshahara huwa zinatumika. Anza na eneo linalotumia pesa nyingi Matatizo (problems) kumi ambayo kikundi kama jamii kinakabiliana nayo katika maisha ya kila siku sehemu wanakoishi: - TEMEKE. ILALA KINONDONI

Maeneo kumi yanayafanana v v v v Chakula………. . . ………

Maeneo kumi yanayafanana v v v v Chakula………. . . ………

1 MSHAHARA v v v v v Chakula Ada Nauli Mawasiliano Mavazi Matibabu Umeme

1 MSHAHARA v v v v v Chakula Ada Nauli Mawasiliano Mavazi Matibabu Umeme Maji Pango Starehe

1 MATATIZO v v v v v Maji Usafiri Magonjwa Makazi Majanga Uchafu Njaa

1 MATATIZO v v v v v Maji Usafiri Magonjwa Makazi Majanga Uchafu Njaa Elimu Miundo mbinu

2 MSHAHARA v v v v v Chakula Pango Usafiri Ada/ Elimu Mavazi Misaada

2 MSHAHARA v v v v v Chakula Pango Usafiri Ada/ Elimu Mavazi Misaada kwa jamii Misiba, Sadaka Simu Maji/ Umeme Starehe Matibabu

2 MATATIZO v v v v v Maji Miundo mbinu Kumbi/ Starehe Huduma Hospitali,

2 MATATIZO v v v v v Maji Miundo mbinu Kumbi/ Starehe Huduma Hospitali, soko Polisi Usalama wa mali na raia wizi Usafiri Mfumuko wa bei Ajira Makazi bora Uchafu wa mazingira

3 MSHAHARA v v v v v Chakula Usafiri Matibabu Pango Ada Mavazi Yaya

3 MSHAHARA v v v v v Chakula Usafiri Matibabu Pango Ada Mavazi Yaya Sadaka Starehe Misaada kwa ndugu

3 MATATIZO v v v v v Maji Usafiri Umeme Uchafu Ulinzi Hospitali Barabara

3 MATATIZO v v v v v Maji Usafiri Umeme Uchafu Ulinzi Hospitali Barabara Ndugu Mapumzi

4 MSHAHARA v v v v v Chakula Matibabu Ada Maji Umeme Usafiri Mawasiliano

4 MSHAHARA v v v v v Chakula Matibabu Ada Maji Umeme Usafiri Mawasiliano Pango Kijamii Harusi Mavazi Uremmbo

4 MATATIZO v v v v v Maji Umeme Usafiri Usalama Mfumuko wa bei

4 MATATIZO v v v v v Maji Umeme Usafiri Usalama Mfumuko wa bei Miundombinu Uchafu Magonjwa Ajira

Mifano v v v Rizika na Majaliwa Kwenda benki: kwani mnakopesha bei gani? Taasisi

Mifano v v v Rizika na Majaliwa Kwenda benki: kwani mnakopesha bei gani? Taasisi zinazokopesha 10%, 20%, 30% kwa mwezi Taasisi zinazokopesha 30% 35% 48% kwa mwaka Wakopaji wanategemea au wanajiaminia nini? ? Sisi je?

Uwiano na biashara ndogo v v v Tunategemea wale wenye nia ya kuanzisha biashara

Uwiano na biashara ndogo v v v Tunategemea wale wenye nia ya kuanzisha biashara wawe na tabia hizo zaidi kuliko watu wengine Lakini kuanzisha biashara yako na kuiendesha mwenyewe kunaweza kukufanya uwe na tabia ya kijasiriamali Mipango mizuri ya biashara itakulazimisha kufikiri na kuifanya biashara kijasiriamali. Kuweka malengo na kupanga mikakati ya kutimiza malengo yako. Kuthubutu kimahesabu, kuwa mbunifu nk

Mabadiliko v Mabadiliko hayaepukiki katika maisha na kuna njia mbili za namna ya kuyakabili:

Mabadiliko v Mabadiliko hayaepukiki katika maisha na kuna njia mbili za namna ya kuyakabili: 1. Mabadiliko yakubadilishe wewe AU 1. Kupanga namna ya kuleta mabadiliko kwa namna utakavyo

Agenda v Tunaweza kuleta mabadiliko gani? v Tubadilike kwanza wenyewe na tuwe na mtazamo

Agenda v Tunaweza kuleta mabadiliko gani? v Tubadilike kwanza wenyewe na tuwe na mtazamo au mwelekeo wa maendeleo. Tunalenga nini daima v Tukitazame chama chetu. Kinakwenda wapi? ? v Tukianzisha biashara vizuri, tutakuza biashara zetu na tutakopa zaidi mwisho saccos yetu itakuwa zaidi. BENKI

Mabadiliko ya kiutendaji Utendaji wa chama unapo badilika Sasa Hali inayojulikana Mpito Maumivu Mabadiliko

Mabadiliko ya kiutendaji Utendaji wa chama unapo badilika Sasa Hali inayojulikana Mpito Maumivu Mabadiliko Dira Hakieleweki Wegine hawapendi 26

Mabadiliko kiutendaji Maana Kama Neno: Kama Kitendo: • kuwa tofauti, Vingine • Kubadilishwa au

Mabadiliko kiutendaji Maana Kama Neno: Kama Kitendo: • kuwa tofauti, Vingine • Kubadilishwa au kufanywa tofauti • Tofauti na hali ya mwanzo • Kubadilisha • Kubadiliha na kingine • Tofauti Msisitizo ni kukifanya kitu kiwe kingene Haya yanaweza kuwa ni mabadiliko makubwa 27

Dinosaurs Walikufa! Wanyama walibaki! Badala yake walikumbatia mabadiliko na wakapona 28

Dinosaurs Walikufa! Wanyama walibaki! Badala yake walikumbatia mabadiliko na wakapona 28

Thank You!

Thank You!

CONTACTS v v +255 -658853100 +255 -762241124 +255 -784853100 E-Mail: ngalawadeogratias@gmail. com

CONTACTS v v +255 -658853100 +255 -762241124 +255 -784853100 E-Mail: ngalawadeogratias@gmail. com