KUWAONA WATU KAMA YESU ANAVYOWAONA Lesoni 3 kwa

  • Slides: 8
Download presentation
KUWAONA WATU KAMA YESU ANAVYOWAONA Lesoni 3 kwa Julai 18, 2020

KUWAONA WATU KAMA YESU ANAVYOWAONA Lesoni 3 kwa Julai 18, 2020

Yesu aliwaonaje watu? Aliwaona watu kwa huruma. Alifikiria kuokoa maisha kila mtu. Aliwaona watu

Yesu aliwaonaje watu? Aliwaona watu kwa huruma. Alifikiria kuokoa maisha kila mtu. Aliwaona watu jinsi watakavyokuwa ikiwa kama wataukubali wokovu. Kila mtu alikuwa wa thamani na pekee kwa Yesu. Kwa hiyo, alimtendea kila mtu kwa njia maalum, na hakudharau yeyote. Hebu tujifunze kuwatendea wengine kama Yesu alivofanya. Kuongoza wengine Kumkubali kila mtu Kufanya marafiki. Kuwatendea wengine kwa njia maalum Kuitumia kila fursa.

"Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse. " (Marko 8: 22) Huu ulikuwa muujiza katika

"Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse. " (Marko 8: 22) Huu ulikuwa muujiza katika njia nyingi. Watu wengi 4. Kipofu aliona watu 3. Baada ya mguso hawezi kumjia kama miti. wa kwanza, Yesu hadi pale alimuuliza kama 5. Mguso wa mtu aliye na anaona kitu pili ulimponya imani kipofu kabisa. 2. Yesu atakapowaleta akamchukua Kwake. Huu ndio na utume wetu. kumtenga kando 1. Watu fulani walimleta kipofu na kumwomb a Yesu amponye Kipofu hakumwamini Yesu, lakini marafiki zake walimwamini. Yesu alitumia miguso miwili kumponya. Wakati mwingine tunaweza kuhitaji "mguso wa pili" kutoka kwa Yesu ili kuona ukweli wa kiroho kwa uwazi zaidi.

KUMKUBALI KILA MMOJA “Naye alikuwa hana budi kupita kati ya Samaria. ” Galilaya (Yohana

KUMKUBALI KILA MMOJA “Naye alikuwa hana budi kupita kati ya Samaria. ” Galilaya (Yohana 4: 4) Mahusiano kati ya Wayahudi na Wasamaria yalikuwa mabaya sana. Wayahudi walikuwa wakichukua njia ya kuzunguka kutoka Yudea kwenda Galilaya, ili wasipite kati ya Wasamaria. Samaria Yudea Hata hivyo, Yesu anaona ng’ambo ya pili ya kabila, tamaduni, jinsia na dini. Alijua kwamba kulikuwa na watu kule Samaria ambao walihitaji wokovu, kwa hivyo utume wake ulikuwa kuleta wokovu kwao pia. . Tunapowaona wengine kwa huruma ya Mungu, kila kizuizi hushushwa. Halafu hakuna utengano tena, kwa sababu tunawaona kama raia tarajiwa wa Ufalme wa Mbingu. Tuweza tusishiriki au kukubali maoni yao ya kisiasa au ya kidini, lakini tuwapende kila wakati na kuwatakia mema.

KUFANYA MARAFIKI “huyo akamwona kwanza Simoni, ndugi yake mwenyewe, akamwambi, Tumemwona Masihi (maana yake,

KUFANYA MARAFIKI “huyo akamwona kwanza Simoni, ndugi yake mwenyewe, akamwambi, Tumemwona Masihi (maana yake, Kristo). ” (Yohana 1: 41) Yesu alipowaaga wanafunzi wake, aliwaagiza kuhubiri Injili na kuongeza maeneo: "huko Yerusalemu, na Uyahudi yote na Samaria, na hata mwisho wa dunia. " (Matendo 1: 8) Mtume Andrea aliweka mfano wa njia hii. Kwanza, alimwambia kaka yake juu ya Yesu [Uyahudi] Baadaye, alifanya urafiki na kijana [Samaria] na Yesu alifanya muujiza mkubwa kupitia yeye (Yohana 6: 5 -11) Mwishowe aliwashirikisha wageni Injili [hadi mwisho wa dunia], kama wale watu wa Uigiriki ambao walikuwa wakimtafuta Yesu (Yohana 12: 20 -26). Tunaweza kujifunza njia madhubuti ya kuleta roho kwa Yesu kutoka kwa mfano wa Andrea: kujenga uhusiano wa upendo na wengine.

“Naye Yesu alipoona ya kuwa amejibu kwa busara, alimwambia, wewe hu mbali na ufalme

“Naye Yesu alipoona ya kuwa amejibu kwa busara, alimwambia, wewe hu mbali na ufalme wa Mungu. Wala hakuthubutu kumsaili neno tena tokea hapo. ” (Marko 12: 34) Yesu alishughulikaje na watu wagumu? Aliwasikiliza kwa umakini. Aliwauliza maswali. Alifunua ukweli hatua kwa hatua. Yeye anatambua matumaini ya mioyo yao. Aliona uwezo katika watu wenye kudharauliwa zaidi. Hakumfikiria mtu yeyote nje ya injili. Aliona uakisi wa utukufu wa Uumbaji ndani ya kila mtu. Aliinua mawazo yao ili waweze kugundua ni nini wanaweza kuwa. Kuwaona wengine kama Yesu alivyowaona kunamaanisha kuona kila mtu kama mtahiniwa wa Ufalme wa Mbingu, na kuwatendea ipasavyo. Ili tuwe mashahidi waliofanikiwa, lazima tuombe Roho Mtakatifu kwa aina hii ya njozi.

KUTUMIA KILA FURSA “Nayajua matendo yako. Tazama, nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako, ambao hapana

KUTUMIA KILA FURSA “Nayajua matendo yako. Tazama, nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako, ambao hapana awezaye kuufunga. ” (Ufunuo 3: 8) Mungu hufungua milango kutupatia fursa za kiungu kusudi kushirikishi katika Injili. Angalia mfano wa Filipo. Mungu alimpeleka sehemu maalum ili aweze kuonana na mtu ambaye alikuwa akisoma aya fulani kwenye maandiko. Mtu yule alihitaji msukumo mdogo tu ili asalimishe moyo wake kwa Mwokozi wetu (Matendo 8: 26 -39). Kuna malaika wasioonekana wenye hamu ya kutuongoza kupitia ile "milango wazi. " Muombe Mungu akupe maamuzi ya kutambua fursa hizo za kiungu, na akupe maneno yanayofaa katika nyakati hizo.

"Yesu alikuja na kukutana na watu mwenyewe. Hakujitenga au kujificha mbali na wale ambao

"Yesu alikuja na kukutana na watu mwenyewe. Hakujitenga au kujificha mbali na wale ambao walihitaji msaada Wake. Aliingia katika nyumba za watu, akamfariji yule aliyeomboleza, akaponya wagonjwa, akawaimarisha waliokata tamaa, akaenda akitenda mema. Na ikiwa tutafuata nyayo za Yesu, lazima tufanye kama Yeye alivyofaanya. Lazima tuwapatie watu aina ile ya msaada kama Yeye alivyotoa. " E. G. W. (Our Father Cares, February 17)