Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Kilimo

  • Slides: 51
Download presentation
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Kilimo Fursa ya Biashara ya Mazao ya

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Kilimo Fursa ya Biashara ya Mazao ya Nafaka katika Soko la Afrika: Uwezo wa Tanzania Kuzalisha na Nafasi ya Wafanyabiashara Kushiriki Kikamilifu Mkutano wa Wafanyabiashara wa Nafaka Julius Nyerere Conference Centre, Dar es Salaam, Agosti 29 -30, 2019

Yaliyomo § Utangulizi § Uzalishaji na Mahitaji ya Nafaka Tanzania § Umuhimu wa Tanzania

Yaliyomo § Utangulizi § Uzalishaji na Mahitaji ya Nafaka Tanzania § Umuhimu wa Tanzania Kuuza Nafaka Soko la Kanda – Viashiria ya Soko Kupanuka § Uzalishaji na Mahitaji ya Nafaka Kanda ya Mashariki (EAC) na Kusini ya Africa (SADC) § Fursa Katika Mashirika ya Chakula cha Msaada § Utayari wa Tanzania Kunufaika na Soko la Chakula Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika

Utangulizi • Nafaka ndio chakula kikuu duniani ambapo mahindi, mchele na ngano huchangia nusu

Utangulizi • Nafaka ndio chakula kikuu duniani ambapo mahindi, mchele na ngano huchangia nusu (50%) ya nishati katika mwili wa mwanadamu • Uzalishaji wa mahindi duniani ni tani 1. 07 bilioni (statista. com, 2017) ambapo mahindi meupe in 13% (kleffmann. com) • Marekani huongoza duniani kwa kuzalisha 34% ya mahindi (USDA, 2019) na huchangia 40% ya mahindi kibiashara • Asilimia 12 ya mahindi duniani huuzwa kibiashara ambapo soko kuu ni chakula cha mifugo • Mahindi meupe hulimwa zaidi Afrika Mashariki na Kusini pamoja na nchi ya Mexico (tani 113 milioni) • Tanzania ni ya pili Afrika Mashariki kwa kuzalisha mahindi (tani milioni 6) baada ya Ethiopia • Asilimia 30 ya mahindi ya Tanzania huingia sokoni (tani milioni 2) ambapo 10% (tani laki 3) huuzwa nchi jirani

Utangulizi… • Mchele hutumika zaidi kwenye matumizi ya chakula cha binadamu na ndio chanzo

Utangulizi… • Mchele hutumika zaidi kwenye matumizi ya chakula cha binadamu na ndio chanzo kikuu cha nishati mwilini • Soko la mchele ni finyu ukilinganisha na la mahindi ambapo ni 7% tu huuzwa kibiashara • Maeneo ambapo mpunga huzalishwa ndipo mahali ambapo walaji wengi wapo • Ngano ni chanzo cha pili cha nishati mwilini

Uzalishaji na Mahitaji ya Nafaka Tanzania Wakulima 8. 4 mil; Uzalishaji 16. 4 mil

Uzalishaji na Mahitaji ya Nafaka Tanzania Wakulima 8. 4 mil; Uzalishaji 16. 4 mil tani; Mahitaji 13. 8 mil tani; Ziada 2. 6 mil tani Mahindi Wakulima: 7. 4 mil Eneo: 3. 4 mil ha (4. 5 mil ha, USDA, 2019) Tija: 1. 7 tani/ha Uzalishaji: 6 mil tani Mahitaji: 5. 5 mil tani Mchele Wakulima: 1. 6 mil Eneo: 1. 23 mil ha Tija: 2 tani/ha Uzalishaji: 2 mil tani Mahitaji: 1 mil tani Ngano Wakulima: 30, 200 Eneo: 42, 177 ha Tija: 1. 6 tani/ha Uzalishaji: 94, 000 tani Mahitaji: 1 mil tani Uagizaji (Imports): 1 mil tani Mtama Wakulima: 1. 1 mil Eneo: 0. 6 mil ha Tija: 1. 2 tani/ha Uzalishaji: 0. 7 mil tani Mahitaji: 1. 9 mil tani (Jumla ya mtama na uwele) Chanzo: Wizara ya Kilimo 2018/19; NBS Annual Agricultural Sample Survey 2016/17; USDA, 2018, 2019 Uwele Wakulima: 0. 3 mil Eneo: 0. 2 mil ha Tija: 1. 2 tani/ha Uzalishaji: 0. 2 mil tani Maharage Wakulima: 1. 9 mil Eneo: 0. 98 mil ha Tija: 1. 2 tani/ha Uzalishaji: 1. 1 mil tani Mahitaji: 0. 8 mil tani

Ziada ya Nafaka Tanzania • • • Tanzania huzalisha tani milioni 16 hadi 17

Ziada ya Nafaka Tanzania • • • Tanzania huzalisha tani milioni 16 hadi 17 za chakula ambapo nafaka ni tani milioni 9 Tanzania hujitosheleza kwa chakula na huzalisha wastani wa ziada ya asilimia 20 Ili Tanzania iweze kuuza kibiashara nafaka bila woga wa kutokea njaa, inabidi ziada iongezeke hadi asilimia 50 na kuendelea Motisha ya bei ni muhimu ili kuongeza uzalishaji Ili kuleta motisha ya kuongeza uzalishaji, Tanzania inabidi kuvumilia bei ya juu ya nafaka kwa miaka 2 hivi Tanzania inaweza ongeza uzalishaji mara 4 bila ya kuongeza eneo Tanzania inaweza kuzalisha tani milioni 87 za mchele endapo litalimwa nusu ya eneo lote linalofaa kwa umwagiliaji – kwa kutumia mbinu bora Eneo linalolimwa ni hekta mil. 17 na uzalishaji tani mil 16 -17 hivyo tija ni chini kidogo ya tani 1 kwa hekta. Katika hali ya kawaida unaweza vuna tani 4 za nafaka kwa hekta Kuongeza tija kunahitaji vitu 3: Mbegu bora, mbolea na matunzo – maji, kuthibiti magonjwa n. k. Chanzo: Wizara ya Kilimo, Kitengo cha Usalama wa Chakula 2019

Umuhimu wa Tanzania Kushikiri Biashara ya Nje ya Nafaka • Kuuza nafaka ziada hufanya

Umuhimu wa Tanzania Kushikiri Biashara ya Nje ya Nafaka • Kuuza nafaka ziada hufanya bei ya ndani isianguke • Hupunguza kupanda na kushuka kwa bei – hufanya bei iwe tabiriki • Huongeza kipato cha wakulima na kupunguza umaskini – Mazao ya chakula huzalishwa na wakulima zaidi ya milioni 8. 4 ukilinganisha na mazao ya biashara (1. 5 milioni) • Nchi zinazouza chakula kwa wingi duniani na kutoa msaada wa chakula zinakuwa na ushawishi zaidi kisiasa na kidiplomasia (food, energy, water nexus)

Utayari wa Tanzania Kushikiri Biashara ya Nafaka Nje ya Nchi Kujenga mazingira tabiriki •

Utayari wa Tanzania Kushikiri Biashara ya Nafaka Nje ya Nchi Kujenga mazingira tabiriki • • Nchi zinazoagiza chakula hujali pia usalama wa chakula • Kama usafirishaji chakula hautabiriki utapata soko baki na sio soko kuu • Kusafirisha kiwango cha juu – Ongeza tija, ongeza ziada • Kuwa na bei nafuu – Ongeza tija, punguza gharama za uzalishaji na usafiri • Zalisha kwa viwango • Uthubutu kushiriki biashara ya chakula/nafaka • Uzoefu: Mwaka jana, Uganda ilisafirisha tani milioni moja za mahindi na kupata dola zaidi ya milioni 325; Uzalishaji mahindi umepanda kwa kipindi cha miaka mitatu toka tani milioni 2 hadi 3 kwa mwaka

Aina za Masoko ya Nafaka • Soko la ndani – linakua kutokana na kuongezeka

Aina za Masoko ya Nafaka • Soko la ndani – linakua kutokana na kuongezeka idadi ya watu, kipato na ukuaji wa miji • Soko la nje kibiashara hasa kikanda • Soko la chakula cha msaada • Soko la chakula cha mifugo • Soko za bidhaa zilizoongezewa thamani

Chakula cha Msaada • World Food Program (WFP) hununua nafaka (mahindi) kutoka Uganda na

Chakula cha Msaada • World Food Program (WFP) hununua nafaka (mahindi) kutoka Uganda na Tanzania • Tanzania huchangia asilimia 15% ya manunuzi ya WFP • Mwaka 2018 WFP ilinunua mahindi: • Uganda tani 197, 986 za mahindi • Tanzania tani 171, 529 (Dola milioni 42)

Hali ya Chakula Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini 2019/20 Fursa kwa Tanzania Kusafirisha

Hali ya Chakula Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini 2019/20 Fursa kwa Tanzania Kusafirisha Mazao ya Chakula Soko la Kanda Nchi zenye upungufu wa chakula 2019/20 Sababu: § Kimbunga -Cyclone Idai and Kenneth § Mvua hafifu na za kuchelewa Matokeo § Ongezeko la bei ya chakula § Nchi zenye upungufu ni 14 § Watu wenye mahitaji ya chakula cha msaada in million 45 Chanzo: The New Humanitarian, 2019

Mwenendo wa Uzalishaji Nafaka Nchini Mwenendo wa Uzalishaji wa Nafaka Tanzania Wastani wa Uzalishaji

Mwenendo wa Uzalishaji Nafaka Nchini Mwenendo wa Uzalishaji wa Nafaka Tanzania Wastani wa Uzalishaji wa Nafaka Nchini 8, 000 • Uzalishaji wa Mahindi: tani millioni 6 7, 000 6, 000 • Uzalishaji wa Maharage: tani millioni 1. 1 • Uzalishaji wa Ngano: tani 94, 000' tani • Uzalishaji wa Mchele : tani millioni 2 5, 000 4, 000 3, 000 2, 000 1, 000 0 6 200 8 0 201 200 Mahindi 2 201 Mchele 4 201 Ngano 6 201 Maharage 8 201

Uzalishaji Mahindi Nchi za Afrika Mashariki na Kusini Mwenendo wa Uzalishaji Mahindi Nchi Wastani

Uzalishaji Mahindi Nchi za Afrika Mashariki na Kusini Mwenendo wa Uzalishaji Mahindi Nchi Wastani wa miaka 5 (tani) 16. 00 Africa Kusini 12, 122, 820 14. 00 Ethiopia 7, 514, 580 Tanzania 6, 347, 974 8. 00 Kenya 3, 491, 172 6. 00 Zambia 2, 996, 259 Uganda 2, 768, 340 Zimbabwe 864, 336 Comoros 6, 152 Tani (Mil) 18. 00 12. 00 10. 00 4. 00 2013 South Africa Zambia Chanzo: FAOSTAT 2017, Mo. A 2017 2014 Ethiopia Uganda 2015 Tanzania* Zimbabwe 2016 2017 Kenya Comoros

Uagizaji Nafaka Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (2014 -18) Uagizaji wa Mchele

Uagizaji Nafaka Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (2014 -18) Uagizaji wa Mchele Uagizaji wa Mahindi 1, 000 900, 000 800, 000 700, 000 600, 000 500, 000 400, 000 300, 000 200, 000 100, 000 - 1, 200, 000 1, 000 Tani 1, 400, 000 800, 000 600, 000 400, 000 200, 000 Kenya* Zimbabwe *Wastani kwa Kenya ni mwaka 2017 na 2018 Chanzo: COMTRADE 2014 -18 Malawi Rwanda Burundi - Msumbiji Afrika Kusini Kenya Madagascar Ethiopia Zimbabwe Uganda

Ulinganifu wa Tija za Mahindi na Mpunga Tija katika kuzalisha mahindi duniani 2017 Tija

Ulinganifu wa Tija za Mahindi na Mpunga Tija katika kuzalisha mahindi duniani 2017 Tija katika kuzalisha mpunga duniani (2017) 11. 08 USA Egypt 9. 3 China Egypt 7. 71 South Africa 6. 40 China 6. 11 Mexico 3. 79 6. 9 Viet. Nam 5. 5 Bangladesh 4. 3 Senegal 4. 2 Madagascar 4. 2 Rwanda Ethiopia 3. 73 Kenya Uganda 2. 54 Uganda Zambia 2. 52 Tanzania Nigeria 1. 45 Tani/Ha Chanzo: FAOSTAT 2017 3. 4 2. 7 2. 6 2. 4 2 Tani/Ha

Usafirishaji Mahindi Nje 2018 (Exports) Wastani wa Usafirishaji Mahindi Nje kwa Miaka Mitano (2014

Usafirishaji Mahindi Nje 2018 (Exports) Wastani wa Usafirishaji Mahindi Nje kwa Miaka Mitano (2014 -2018) Nchi Tani (Milioni) Mexico 1, 183, 204. 96 Afrika Kusini 1. 4 – 2. 8 Tanzania 0. 2 Zambia 0. 9 Uganda 1 Chanzo: COMTRADE 2018 Mapato ($ milioni) 452 325

Nchi Zinazoongoza katika Uzalishaji Mchele Uzalishaji wa Mchele Bara la Afrika Uzalishaji wa Mchele

Nchi Zinazoongoza katika Uzalishaji Mchele Uzalishaji wa Mchele Bara la Afrika Uzalishaji wa Mchele Duniani (2013 -2017) 5000 140. 0 4000 120. 0 000' Tani (Milioni) 100. 0 80. 0 3000 2000 60. 0 40. 0 1000 20. 0 Asilimia 90 ya mchele duniani huzalishwa asia Afrika magharibi na Misri huongoza Afrika Source: FAOSTAT Gu in e a i al M a za ni Ta n ar as c M ad ag ge ria Ni nd ila Th a m Vi et na h de s gl a Ba n In do ne s ia a In di a Ch in • • Eg yp t 0 - • Afrika mashariki na kusini, Tanzania ni ya pili kuzalisha mchele baada ya Madagascar

Uagizaji Mchele Afrika Mashariki na Kusini (2014/18) 1, 400, 000 700, 000 1, 200,

Uagizaji Mchele Afrika Mashariki na Kusini (2014/18) 1, 400, 000 700, 000 1, 200, 000 500, 000 1, 000 400, 000 800, 000 300, 000 600, 000 200, 000 400, 000 100, 000 200, 000 - Chanzo: COMTRADE i aw al s lle he yc M ia • Nchi za kusini mwa Afrika huagiza zaidi ya tani milioni 3 za mchele kwa mwaka Se an Ta nz bi a m Za ib ia a an w ts Na m in i Bo at w go la An Es M au rit iu s bw e ba Zim ad ag as ca a ric Af M M • Nchi za Afrika Mashariki huagiza tani 720, 000 za mchele kwa mwaka • Kenya peke yake huagiza karibia tani 468, 000 r - Tanzania h Burundi e Rwanda ut Uganda am bi qu Ethiopia oz Kenya So Tani 600, 000

Nchi Zinazongoza katika Usafirishaji wa Mchele Usafirishaji Mchele Duniani Usafirishaji Mchele Bara la Afrika

Nchi Zinazongoza katika Usafirishaji wa Mchele Usafirishaji Mchele Duniani Usafirishaji Mchele Bara la Afrika 12000 140, 000 10000 120, 000 100, 000 Tani 000' Tani 8000 6000 80, 000 60, 000 4000 20, 000 2000 Zaidi ya 77% ya mchele unaosafirishwa duniani hutokea bara la Asia Chanzo: COMTRADE export data ( 2014 -18) ny a Ke ia an nz Ta st Co a ry da Ivo an Rw da t Eg yp r Ni ge l ga ne Ug an h ut So in a Ch il az nm ya M Br ar A US an ist Pa k Vi et Na m d la n ai Th In d ia Af ric 0 Se a - Usafirishaji wa mchele nje ya bara la Afrika ni wa kiasi kidogo. Kiasi kikubwa huuzwa ndani ya bara la Afrika

Uzalishaji Maharage Afrika Mashariki na Kusini Mwenendo wa Uzalishaji wa Maharage Tija katika Uzalishaji

Uzalishaji Maharage Afrika Mashariki na Kusini Mwenendo wa Uzalishaji wa Maharage Tija katika Uzalishaji wa Maharage 2017 1, 400, 000 Uganda 1. 62 Tanzania 1, 200, 000 1, 000 0. 99 Kenya Tani 800, 000 0. 72 Malawi 600, 000 400, 000 0. 60 200, 000 Zimbabwe 0. 42 - Tani/ha 2010 Kenya Chanzo: FAO, 2019 2011 2012 Tanzania 2013 Malawi 2014 Uganda 2015 2016 Zimbabwe 2017

Kilimo cha Umwagiliaji Mpunga – Tanzania na Misri Tanzania: ◦ Mvua kwa mwaka =

Kilimo cha Umwagiliaji Mpunga – Tanzania na Misri Tanzania: ◦ Mvua kwa mwaka = 1, 071 mm ◦ Eneo la Mpunga = 1. 23 million ha ◦ Eneo linalomwagiliwa = 475, 000 ha (2. 5 ha of cultivated farm land) ◦ Uzalishaji mchele = tani 1. 5 hadi 1. 7 milioni kwa mwaka Misri: ◦ Mvua kwa Mwaka = 12 mm (0 – 200 mm) au ujazo wa maji wa 3 bilioni m 3 kwa mwaka ◦ Maji yanayovunwa = Ujazo wa maji 1 billion m 3 kwa mwaka ◦ Eneo linalomwagiliwa = 450, 000 ◦ Uzalishaji Mpunga = tani 4. 3 milioni kwa mwaka 24

Matumizi ya Pembejeo na Teknolojia za Kilimo Tanzania: Wakulima wanaotumia pembejeo (2014): ◦ Mbolea

Matumizi ya Pembejeo na Teknolojia za Kilimo Tanzania: Wakulima wanaotumia pembejeo (2014): ◦ Mbolea ◦ Mbegu bora ◦ Viwatilifu ◦ Trekta 16% 28% 13% 7% Matumizi ya Mbolea Kg/ha in 2016 503. 3 China 114. 0 Mexico 89. 6 Zambia 58. 5 South Africa 38. 2 Kenya Zimbabwe 22. 9 Malawi 21. 6 Tanzania Uganda Chanzo: NBS-Annual Agricultural Sample Survey 2016/17; FAO, 2016, World Bank 2019: Fertilizer Consumption 12. 6 1. 9

Fursa za Masoko na Biashara ya Nafaka Kikanda “Soko la Afrika Mashariki Tunajia” Bw

Fursa za Masoko na Biashara ya Nafaka Kikanda “Soko la Afrika Mashariki Tunajia” Bw Junior Ndesanjo Mkurugenzi wa Sera na Mipango – Tanzania Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki (EAGC) Tarehe 29 Agosti 2019, JNICC, Dar Es Salaam

Muhtasari 1. Kuhusu Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki 2. Umuhimu wa Biashara

Muhtasari 1. Kuhusu Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki 2. Umuhimu wa Biashara ya Nafaka Kikanda 3. Hali halisi ya Biashara ya Nafaka kwa Sasa 4. Mtiririko kuu wa Biashara ya Nafaka ya Kikanda 5. Hali ya Uuzuaji na Ununuaji wa Nafaka Kikanda 6. Hali ya Biashara ya Nafaka isiyo rasmi 7. Fursa za Kibiashara na Uwezekaji kwenye Sekta ya Nafaka 8. Ziara ya Kibiashara (Kenya, Zambia, Malawi, Rwanda na DRC Congo) 9. Changamoto kwenye Sekta ya Nafaka 10. Mapendekezo

1. Kuhusu Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki • Shirika la Kikanda lisilo

1. Kuhusu Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki • Shirika la Kikanda lisilo la faida linalowaunganisha wadau kutoka mashariki na kusini mwa Afrika kwenye mnyonyoro wa thamani wa Nafaka • Liliundawa mnamo mwaka wa 2006 • Dhumuni: Kuwezesha biashara ya nafaka yenye ufanisi, mfumo rasmi na faida kwa manufaa ya wadau wa Ukanda wa Afrika Mashariki

Nguzo kuu za Baraza la Nafaka

Nguzo kuu za Baraza la Nafaka

Baraza la Nafaka Tanzania • Jumla ya Wanachama 100 • Mashirikiano ya karibu na

Baraza la Nafaka Tanzania • Jumla ya Wanachama 100 • Mashirikiano ya karibu na taasisi zaidi ya 30 Kazi ya Baraza la Nafaka • Kushiriki kuandaa Mnyororo wa Thamani wa Mazao wa Mikunde 2016 -2020 • Uanzishwaji wa Viwango vya Afrika Mashariki kwa Bidhaa 22 za Nafaka • Baraza la Nafaka Afrika Mashariki limewezesha biashara and kutoa fursa ya kuuza mazao yenye thamani ya Dola za Kimareki Millioni 100 (ambazo ni takribani Tshs Billioni 227 kwa mwaka 2018) kwa Biashara za Tanzania • Ushauri wa sera kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo kwenye vizuizi vya kuuza nafaka nje, matumizi ya methyl bromide kwa usafirishaji wa mazao ya mikunde; upatikanaji wa soko la mbaazi, msamaha wa kodi ya Uongezeko nyani VAT kwenye Masudu ya Soya na Chakula cha Mifugo, Mashine ya kukaushia Nafaka

2. Umuhimu wa Biashara ya Kikanda katika Usalama wa Chakula na Upatikanaji wa Soko

2. Umuhimu wa Biashara ya Kikanda katika Usalama wa Chakula na Upatikanaji wa Soko • Uhamisho wa Nafaka kwenda Maeneo yenye Ziada kwenda Maeneo yenye Upungufu – Upatikanaji wa Masoko yenye tija kwa Wakulima Wadogo – Uboreshaji Hali ya Maisha Yao – Kuchochea uongezeko la uzalishaji wa NAFAKA • Kupunguza kuyumba kwa bei za masoko – Soko linavyopanuka husaidia kuchukua ziada, na hivyo kupunguza hatari ya bei kuporomoka • Kupitia Ushuru wa Kawaida wa Nje ina uwezo wa kulinda soko la ndani dhidi bidhaa za rahisi kutoka nje na kuongezeka kwa masoko ya ndani

3. Hali ya Biashara ya Chakula Kikanda • Tanzania ni msafirishaji mkuu wa Mahindi,

3. Hali ya Biashara ya Chakula Kikanda • Tanzania ni msafirishaji mkuu wa Mahindi, Mchele, Maharage kwenda nchi jirani za Afrika Mashariki • Tanzani ni mzalishaji wa Pili na Kumi wa Afrika wa Mazao wa Mikunde barani Afrika • Tanzania ni muagizaji wa Ngano, Mafuta ya kupikia na Maharage ya Soya • Biashara nyingi za mipakani sio rasmi badala ya rasmi, kwa sababu ya vizuizi vya biashara visivyo vya ushuru • Biashara ya ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki ni bado ni ya chini sana, haswa kwa sababu ya maswala ya sera, usushani vikwazo visivyo vya ushuru n. k. Taratibu refu za kuagiza / kuuza nje Zuia / uzuie vikwazo, nk.

Mwenendo wa Biashara ya Mazao ya Kilimo Tanzania 400, 000. 00 Pulses 200, 000.

Mwenendo wa Biashara ya Mazao ya Kilimo Tanzania 400, 000. 00 Pulses 200, 000. 00 Wheat - Trade balance (MT) Maize - 200, 000. 00 Rice - 400, 000. 00 Coffee - 600, 000. 00 Cashewnuts - 800, 000. 00 - 1, 000. 00 Palm oil, crude+refined

… • Hali ya kuongeza la thamani kwenye mnyororo wa thamani • Viwanda (Usindikaji

… • Hali ya kuongeza la thamani kwenye mnyororo wa thamani • Viwanda (Usindikaji wa Mazao ya Kilimo) ni 8% ya Pato la Taifa(REPOA) • Uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni kwenye sekta ya kilimo unabaki kuwa chini kwenye 2% -3% • Kwa hivyo, Uingizaji wa chakula (vyakula vilivyo kusindika) uliongezeka mara tatu ya Uingizaji wa chakula nchini kati ya 2006 na 2013

4. Mtiririko wa Biashara ya Nafaka Kikanda

4. Mtiririko wa Biashara ya Nafaka Kikanda

5. Takwimu za Uuzaji Kikanda na Ununuzi ya Nafaka Nchini Masoko ya Nafaka Uagizwaji

5. Takwimu za Uuzaji Kikanda na Ununuzi ya Nafaka Nchini Masoko ya Nafaka Uagizwaji wa Nafaka 1. Mahindi(Kenya, Rwanda) 2. Unga wa Mahindi (DRC & South Sudan) 3. Mchele (Rwanda, Uganda, Zambia, Malawi) 4. Mtama Mweupe (Kenya, Uganda) 5. Maharage ya Soya(Rwanda) 6. Mikunde i. e. Mbaazi, Choroko (India, Pakistan, China, UAE) 1. Ngano(Russia, Argentina, Brazil) 2. Maharage ya Soya (Zambia, Malawi and Uganda)

6. Biashara ya Mipakani isiyo Rasmi

6. Biashara ya Mipakani isiyo Rasmi

Uugizaji wa Mahindi kwa Nchi

Uugizaji wa Mahindi kwa Nchi

Biashara Rasmi na Isiyo Rasmi ya Mchele Kikanda

Biashara Rasmi na Isiyo Rasmi ya Mchele Kikanda

7. Fursa za Biashara na Uwekezaji katika Sekta ya Nafaka • Mifumo ya Uzalishaji

7. Fursa za Biashara na Uwekezaji katika Sekta ya Nafaka • Mifumo ya Uzalishaji – Duka la Pembejeo – Ardhi yakutosha na kumwagilia – Biashara ya Mbegu – Soil Testing Equipments – Pembejeo za Shambani mfano Trekta • Uhifadhi – Maghala – Kukodisha maghala – Mashine ya Kukaushia Nafaka – Mashine ya Kusafishia Nafaka – Mashine ya kufungashia mifuko – Kufukizia Madawa – Mifuko ya Kuhifadhi Nafaka mfano Pics Bags, Silo etc – Mfumo wa Stakabadhi Ghalani

… • Usindikaji (Kuongeza Thamani) – Kukoboa – Vifungashio – Kuchambua – Kupanga madaraja

… • Usindikaji (Kuongeza Thamani) – Kukoboa – Vifungashio – Kuchambua – Kupanga madaraja • Usafirishaji wa Nafaka (Malori) • Fursa za Masoko ya Kikanda Mahitaji ya Mchele Kenya (Metric Tani 478, 000) Uganda (Metric Tani 134, 000) Rwanda (Metric Tani 57, 000) Burundi (Metric Tani 18, 000)

8. Ziara ya Kibiashara Nchini Kenya, Zambia, Malawi, Rwanda & DRC Congo • Jumla

8. Ziara ya Kibiashara Nchini Kenya, Zambia, Malawi, Rwanda & DRC Congo • Jumla ya Makampuni 30 ya Usindikaji wa Mazao ya Mahindi na Mchele yaliuunganisha na masoko ya kikanda yaani Kenya, Zambia na Malawi, ambapo makampani hayo yaliingia na kusaini jumla ya mikataba ya biashara 75 yenye jumla ya metri tani 229, 629 za Mahindi, Unga wa Mahindi, Mchele, Maharege ya Soya yenye thamani ya jumla ya dola millioni 96, 982, 050

Ziara ya Kibiashara Nairobi, Kenya

Ziara ya Kibiashara Nairobi, Kenya

Ziara ya Kibiashara Lusaka, Zambia

Ziara ya Kibiashara Lusaka, Zambia

Ziara ya Kibiashara Lilongwe, Malawi

Ziara ya Kibiashara Lilongwe, Malawi

Ziara ya Kibiashara Rwanda & DRC Congo

Ziara ya Kibiashara Rwanda & DRC Congo

Wasindikaji wakisaini mikataba

Wasindikaji wakisaini mikataba

9. Changamoto kwenye Ziara na Kulifikia Soko la Kikanda Wakati ya Ziara Ø Tofauti

9. Changamoto kwenye Ziara na Kulifikia Soko la Kikanda Wakati ya Ziara Ø Tofauti za Lugha katika Watanzania na nchi zingine Ø Tofauti za Thamani ya Fedha katika Tanzania na nchi jirani Ø Gharama za usafirishaji wa mzigo barabani kutoka Tanzania kwenda nchini ni kubwa Baada ya Ziara • Mtaji wakutosha kununua na kusafirisha mzigo • Ufahamu mdogo wa Taratibu za Usafirishaji na Upatakanaji Vibali vya usafirishaji kwa wakati • Upatanikanaji wa vifungashio

… Sekta kwa Ujumla • Uzalishaji mdogo kulinganisha na aridhi yenye rotuba • Ubora

… Sekta kwa Ujumla • Uzalishaji mdogo kulinganisha na aridhi yenye rotuba • Ubora na Viwango hafifu vya mazao ya nafaka • Upungufu wa Maghala ya Kutosha Kuhifadhia Mazao kwa Chakula cha Binadamu na Mifugo (hivyo upelekea kusababisha upotevu wa mazao ) • Upatikanaji wa Masoko ya Uwakika na Mikataba • Uelekezaji wa Mitaji Mdogo kwenye Sekta ya nafaka • Utabirikaji wa Sera

10. Mapendezo ya Jinsi ya Kulifikia Soko la Kikanda • Uundaji wa Sera za

10. Mapendezo ya Jinsi ya Kulifikia Soko la Kikanda • Uundaji wa Sera za Kusimamia Utekelezaji wa Viwango vya Afrika Mashariki kwenye Mazao ya Nafaka • Matumizi wa Usafirishaji Mbadala kama Treni • Uongezaji wa Mikopo kwenye Sekta 5% - 40%) • Mikataba ya Kibiashara • Ushiriakiano kati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika na Jumuiya nyingine ili kuongeza wigo wa masoko • Kukuza biashara ya Nafaka kwa kuondoa vikwazo visivyokua vya ushuru katika Mipaka

Asanteni Wote kwa Utulivu na Usikivu Wenu

Asanteni Wote kwa Utulivu na Usikivu Wenu