MUHTASARI KUHUSU KANUNI ZA ADDO The Tanzania Food
- Slides: 10
MUHTASARI KUHUSU KANUNI ZA ADDO The Tanzania Food, Drugs and Cosmetics (Standard and Code of Ethics for Duka la Dawa Muhimu) Regulations, 2004
KANUNI ZA MADUKA YA DAWA MUHIMU (ADDO) • Kanuni hizi zimetengeneza kutoka kifungu Na. 122 (h) cha sheria ya Chakula, dawa na Vipodozi, 2003) • Zilichapishwa katika gazeti la serikali la 24/9/2004 • Kanuni ina sehemu saba (7) (a)Sehemu ya I: Vifungu vya mwanzo § Jina la Kanuni na tarehe ya kuanza kutumika § Mahali kanuni itakapotumika (DLDM yanapoanzishwa) § Tafsiri § Lengo na sababu ya kuanzishwa kwa DLDM
(b) Sehemu ya II: Kamati za Kitaalamu Mkoa&Wilaya § Kuundwa kwa DDTC na RDTC § Wajumbe wa Kamati § Kazi na uwezo wa Kamati (c) Sehemu ya III: Taratibu za Maombi § Fomu ya maombi ya kujiunga na DLDM § Kujadili maombi katika ngazi ya kijiji § Kazi za serikali ngazi ya kata-kamati ndogo ya Afya & WDC q Kupitia maombi q Mahojiano kati ya mwombaji na kamati q Kukagua jengo
§ Kamati ya dawa ya Wilaya (DDTC) § Kutunukiwa Cheti cha Kupandishwa Hadhi (Accreditation Certificate) § Gharama za kulipia kibali cha DLDM na mgawanyo wa fedha kwenda RDTC na DDTC (d) Sehemu ya IV Viwango katika DLDM • Mtoa dawa § Sifa na Elimu § Majukumu ya mtoa dawa § Mkataba wa kazi
• Mmiliki wa DLDM – Kufuata sheria – Kuwa na leseni na vibali – Kuwa na mtoa dawa mwenye sifa • Jengo – Mahali pa kuanzisha duka – Vigezo vya jengo – Kuwa na nembo ya DLDM
§ Ubora na Utoaji wa Dawa § Kuuza dawa zilizosajiliwa § Dawa zinazoruhusiwa § Lebo ya dawa § Nyaraka na kumbu - Rejista ya Dawa - Kitabu cha Dawa zilizoisha muda wake - Kitabu cha wakaguzi - Kitabu cha malalamiko ya wagonjwa § Vitabu vya Rejea § Orodha ya Dawa moto zilizoidhinishwa katika DLDM
§ Duka la Dawa la Jumla lenye mipaka ya kuuza Dawa (ADDO restricted Wholesale) (e) Sehemu ya V: Ukaguzi § Ngazi za Ukaguzi (kata, wilaya, mkoa na TFDA) § Uteuzi wa wakaguzi § Madaraka au uwezo wa wakaguzi § Uwezo wa TFDA juu ya wakaguzi § Utumaji wa ripoti za ukaguzi katika ngazi mbali
(f) Sehemu ya VI § Maadili na Mwenendo wa Watoa Dawa na Wamiliki wa DLDM (g) Sehemu ya VII § Makosa na adhabu § Viambatanisho
2. MAPITIO (REVIEW) YA KANUNI § Umuhimu wa mapitio - Kanuni zimefanyiwa mapitio na wadau wote mkoani Ruvuma ili kuboresha utekelezaji wa usambazaji wa mpango.
ASANTENI KWA KUNISIKILIZA!