MASHINE MWEZESHAJI S GEORGE 09 NOVEMBER 2017 MASHINE
MASHINE MWEZESHAJI: S. GEORGE 09 NOVEMBER 2017
MASHINE Ni kitu chochote ambacho unaweza kukitumia ili kurahisisha kazi unayofanya. Kuna aina mbili za mashine 1. 2. Mashine rahisi (sahili) Mashine tata
AINA ZA MASHINE Mashine rahisi huwa na sehemu kuu moja au mbili. Mfano wa mashine rahisi ni jembe, nyundo, fagio, shoka n. k Mashine tata imeundwa kwa ustadi na mashine rahisi mbili au zaidi. Mfano cherehani, jenereta baiskeli n. k.
RODA AU GURUDUMU KAPI Roda ni gurudumu ambalo juu yake hupita mfuo wa mnyororo au kamba. Hutumika kunyanyulia au kuvutia vitu vizito. Mfano hutumiwa na mafundi kupandishia zege na matofali kwenye magorofa
RODA Kuna aina mbili za roda 1. 2. Roda tuli Roda jongeo Roda tuli ni ile iliyofungwa mahali bila kujongea. Mfano mlingoti wa bendera Roda jongeo ni ile iliyohuru kusogea wakati wa kushusha au kupandisha mzigo.
RODA TULI
RODA JONGEO
MZIGO , EGEMEO NA JITIHADA KATIKA RODA Roda inapotumiwa kufanya kazi huwa na sehemu ya mzigo, jitihada na egemeo.
MZIGO Ni kitu chochote chenye uzito fulani ambacho kinaweza kusogezwa na jitihada. JITIHADA � Ni kani inayotumiwa kunyanyua mzigo EGEMEO � Ni kitu kinachoshikilia mkono wa wenzo
WENZO Wenzo zimegawanyika katika madaraja makuu matatu. 1. 2. 3. Daraja la kwanza Daraja la pili Daraja la tatu
DARAJA LA KWANZA Katika daraja hili egemeo lipo kati ya mzigo na jitihada. Mfano Nyundo, mkasi na mtange
DARAJA LA KWANZA Unapong’oa msumari au wanafunzi wanapocheza kwenye mtange hutumia daraja la kwanza.
DARAJA LA PILI Katika nyenzo daraja hili mzigo huwa kati ya jitihada na egemeo Mfano gurudumu na ekseli, toroli
DARAJA LA TATU Katika daraja la tatu jitihada huwa katika ya mzigo na egemeo Mfano jeki, patasi, shoka ufagio na sepetu
DARAJA LA TATU
KUTAFUTA KANUNI YA WENZO
KUTAFUTA KANUNI YA WENZO
MFANO Katika wenzo msawazo mzigo wenye uzito wa kg 25 umeunganishwa umbali wa mita 1 kutoka kwenye egemeo. Je, itabidi tuweke jitihada ya kiasi gani umbali wa mita 2 kutoka kwenye egemeo ili wenzo huo uwe kwenye msawazo?
KUTAFUTA KANUNI YA WENZO Manufaa ya kimakenika (MK) katika nyenzo daraja la kwanza inaweza kuwa ni chanya. Kwa sababu x/y inaweza toa jibu la sehemu. Ili MK iwe kubwa umbali wa mzigo lazima uwe mdogo kuliko umbali wa jitihada.
KUTAFUTA KANUNI YA WENZO
KUTAFUTA KANUNI YA WENZO
KUTAFUTA KANUNI YA WENZO M. K katika nyenzo daraja la pili huwa ni makubwa kwa sababu x huwa kubwa kuliko y.
KUTAFUTA KANUNI YA WENZO M. K katika nyenzo daraja la tatu huwa ni madogo chini ya moja) kwa sababu thamani ya x ni ndogo kuliko y
MANUFAA YA KIMAKANIKA Kawaida katika Mashine jitihada huwa ni ndogo kuliko mzigo. Mashine hutumia jitihada ndogo kunyanyua mizigo mizito. Kiwango cha kurahisisha kazi kwa mashine yeyote hujuikana kama manufaa ya Kimakenika (M. K)
MANUFAA YA KIMAKANIKA
UWIANO DHAHIRI (UD) Katika mashine jitihada inaposogea husababisha mzigo husogea na umbali huu hupimika. Uwiano kati ya umbali ambao jitihada imesogea na umbali ambao mzigo umesogea huitwa Uwiano Dhahiri (UD) au Uwiano wa Mwendo Dhahiri (UMD)
UWIANO DHAHIRI (UD)
UFANISI WA MASHINE
- Slides: 28