WANEFILIWANA WA ANAKI WAEMI WAZAMZUMI WAHORI Ni watu

  • Slides: 8
Download presentation

WANEFILI[WANA WA ANAKI] WAEMI, WAZAMZUMI, WAHORI. �Ni watu hodari wa zamani hizo na wenye

WANEFILI[WANA WA ANAKI] WAEMI, WAZAMZUMI, WAHORI. �Ni watu hodari wa zamani hizo na wenye sifa(Mw 6: 4, 1 Sam 17: 4 -7) �Ni watu wakubwa kuliko kawaida[majitu](kumb 2: 10) �Urefu wao ulikuwa ni mikono[dhiraa] 6 na shibiri moja sawa na mita 3. �Walikuwa na vidole 6 kwa kila mkono na kila mguu jumla 24, badala ya 20[2 Sam 21: 20]

SILAHA ZA VITA ZA MAJITU. �Mti wa mkuki[fumo] ulikuwa kama mti wa mtu wa

SILAHA ZA VITA ZA MAJITU. �Mti wa mkuki[fumo] ulikuwa kama mti wa mtu wa kufua chuma. �Uzito wa mkuki ulikuwa shekeli 300 za shaba kwa uzani; sawa na kilo 3. na nusu, ratili 7. 5 �Uzito wa kichwa cha mkuki: shekeli 600 za chuma sawa na kilo (8 -10). �Dirii ya shaba[kifuani]; uzani wake ni shekeli 5000 za shaba; sawa na kilo (50 -57) kwa uzito wake.

SIFA ZA MAJITU �Walikuwa wakubwa kupita kiasi; watu wa kawaida walijiona kama mapanzi tu

SIFA ZA MAJITU �Walikuwa wakubwa kupita kiasi; watu wa kawaida walijiona kama mapanzi tu walipojilinganisha nao. [Hesabu 13: 33] �Ogu mfalme wa Bashani na Bashani yote walikuwa warefai; kaburi lake la chuma[geneza] urefu wake ulikuwa mikono 9[sawa na mita 4] na upana wake mikono 4[sawa na mita 1. 8]. . (kumb 3: 11 -13)

ASILI YA WAREFAI �Milki walizorithi wana wa Lutu yaani Wamoabu na Wa-amoni zilikuwa milki

ASILI YA WAREFAI �Milki walizorithi wana wa Lutu yaani Wamoabu na Wa-amoni zilikuwa milki za warefai baada ya kuwashinda wakamiliki wao; wamoabu waliwaita waemi, na waamoni waliwaita wazamzumi. �Milki walizorithi wana wa Esau[waedomu] zilikuwa zikikaliwa na warefai[waemi] �ng’ambo ya Yordani ambapo Reubeni, Gadi na nusu ya Manase walirithi milki zilizokuwa za majitu

ASILI YA WAREFAI. �Wafilisti [watu wa Gathi] walikuwa mabaki ya warefai, mfano Goliathi. �Waseba,

ASILI YA WAREFAI. �Wafilisti [watu wa Gathi] walikuwa mabaki ya warefai, mfano Goliathi. �Waseba, watu walio warefu[Isaya 45: 14], Yoshua 11: 22. �“miji yao ni mikubwa, imejengewa kuta hata mbinguni”wale watu ni wengi, ni warefu kuliko sisi, watu wakubwa nasi tukajiona nafsi zetu kama mapanzi na ndivyo walivyotuona![wapelelezi walioyaona]

Asili ya WAREFAI � � � Wana wa Mungu walipowaoa wana wa wanadamu wakazaliwa

Asili ya WAREFAI � � � Wana wa Mungu walipowaoa wana wa wanadamu wakazaliwa majitu[wana wa ukoo wa Sethi walipochangamana na ukoo wa Kaini] Wakaanani badala ya kuwafuata wenzao wa ukoo wa HAMU kuja Afrika wao waliamua kuishia kwenda Palestina ya sasa. Walikuwa waovu kuliko watu wote, miji yao iliongoza kwa maovu na dhambi[sodoma] Mungu aliwaadhibu kwa njaa, vita, utumwa na moto kabisa akawachoma![sodoma na gomora] Walizaliwa kwao watu wasio wa kawaida, majitu. waliokuwa tishio kwa Wana wa Israeli.