UANDISHI WA RIPOTI YA UTAFITI WA KIELIMU A

  • Slides: 11
Download presentation
UANDISHI WA RIPOTI YA UTAFITI WA KIELIMU A PATRICA

UANDISHI WA RIPOTI YA UTAFITI WA KIELIMU A PATRICA

i. Kichwa cha habari cha utafiti uliofanyika, mahali, tarehe ilipokamilika ii. Yaliyomo iii. Shukrani

i. Kichwa cha habari cha utafiti uliofanyika, mahali, tarehe ilipokamilika ii. Yaliyomo iii. Shukrani iv. Utangulizi-muhtasari wa tatizo lililosababisha utafiti ufanyike v. Pitio la maandiko • Andika maandiko yanayohusiana na utafiti uliofanyika • Majina na malengo ya utafiti • Njia zipi za utafiti zilitumika • Matokeo ya utafiti yasemwe- linganisha na matokeo ya utafiti uliofanyika.

i. Muundo wa utafiti • Walengwa walikuwa ni akina nani? • Sampuli iliotumika •

i. Muundo wa utafiti • Walengwa walikuwa ni akina nani? • Sampuli iliotumika • Muuundo wa utafiti uliotumika • Jinsi data zilivyokusanywa • Matatizo yaliojitokeza wakati wa ukusanyaji wa data • Jinsi matatizo yalivyoathiri utafiti

i. Ukusanyaji wa data • Zana zipi za utafiti zilitumika? • Namna data zilivyokusanywa

i. Ukusanyaji wa data • Zana zipi za utafiti zilitumika? • Namna data zilivyokusanywa na kuchambuliwa

i. Matokeo ya utafiti • Data zipangwe kufuatana na kila swali la utafiti •

i. Matokeo ya utafiti • Data zipangwe kufuatana na kila swali la utafiti • Chini ya kila data ielezwe matokeo yake kuhusiana na maswali ya utafiti • Matokeo mengine yoyote ya muhimu kuhusiana na utafiti yaelezwe hapa

i. Hitimisho na mapendekezo; mapendekezo hayo yanaweza kuwa; • Kutatua tatizo/matatizo • Kujenga hoja

i. Hitimisho na mapendekezo; mapendekezo hayo yanaweza kuwa; • Kutatua tatizo/matatizo • Kujenga hoja kwa kutumia matokeo ya utafiti, kuanzisha/kuendeleza utafiti mwingine au mpango mwingine wa kielimu

i. Rejea zinaweza kuwa; • Ripoti za tafiti mbali • Vitabu

i. Rejea zinaweza kuwa; • Ripoti za tafiti mbali • Vitabu

Rejea iandikwe kwa mpangilio ufuatao; • • • jina la mwandishi Jina la andiko

Rejea iandikwe kwa mpangilio ufuatao; • • • jina la mwandishi Jina la andiko Mchapishaji Mwaka Mji ripoti ilikochapishwa mfano: TEA, Upimaji na utahini wa maendeleo yawanafunzi, Macmillan Aidan, Dar-es-Salaam 2000.

i. Ufupisho wa ripoti- mhutsari wa mambo makuu yaliyojitokeza kwenye ripoti.

i. Ufupisho wa ripoti- mhutsari wa mambo makuu yaliyojitokeza kwenye ripoti.

i. Viambatanisho/nyongeza • Amabatanisha zana zilizotumika kwenye utafiti kwa ajili ya wasomaji kuzirejea •

i. Viambatanisho/nyongeza • Amabatanisha zana zilizotumika kwenye utafiti kwa ajili ya wasomaji kuzirejea • Mfano: Barua za mawasiliano Andiko la ziada

MPANGILIO WA RIPOTI YA UTAFITI 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9.

MPANGILIO WA RIPOTI YA UTAFITI 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. 11 12 Jina la mtafiti Yaliyomo Shukrani Ufupisho Sura ya kwanza utangulizi Sura ya pili pitio la maandiko Sura ya tatu muundo na njia ya utafiti Sura ya nne ukusanyaji wa data Sura ya tano matokeo ya utafiti Sura ya sita hitimisho/mapendekezo Rejea Viambatanisho/nyongeza