Ta CRI SIRARI SUBSTATION Ta CRI MARUKU SUBSTATION
Ta. CRI SIRARI SUBSTATION Ta. CRI MARUKU SUBSTATION Kagera Ta. CRI HQs & LYAMUNGU SUBSTATION Musoma Ta. CRI MWAYAYA SUBSTATION Kilimanjaro Kigoma TANZANIA MAENDELEO YA UTAFITI WA KAHAWA Mbeya Ta. CRI MBIMBA SUBSTATION Ruvuma Ta. CRI UGANO SUBSTATION “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Jukumu La Ta. CRI Kurudisha matumaini kwenye tasnia ya kahawa kutoa na kusambaza teknolojia zenye: ü Kuongeza tija ü Kuongeza ubora ü Kupunguza gharama za uzalishaji ü Kuboresha kipato na riziki ü Kuongeza mchango wa kahawa kwenye pato la taifa “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
TEKNOLOJIA (MATOKEO YA UTAFITI) ZILIZOTOLEWA RASMI “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Kilele cha mafaniko – Aina 23 bora za kahawa Aina 19 za Arabika zenye tija ya juu, ukinzani na magonjwa ya chulebuni na kutu ya majani na muonjo mzuri Aina 4 za Robusta zenye ukinzani na mnyauko fuzari Aina hizi mpya za kahawa ni kati ya aina bora kabisa za kahawa duniani. “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Teknolojia za kuzalisha miche ya aina mpya chotara § Tumefanikiwa kutafiti teknolojia sahihi za kuzalisha na kusambaza miche ya aina chotara “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Teknolojia ya kuzalisha miche kwa njia ya chupa Torpedo embryos Embryogenic callus Somatic embryos Pregerminated torpedo embryos Plantlets Ex-vitro germination of plantlets Fully developed embryos “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Teknolojia ya kuzalisha mbegu chotara za aina fupi za kahawa (compact) “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Kubadilisha miche ya mashamba yetu kutumia upachikizaji Kitawi aina mpya 4 Shina aina zamani “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
“Package” kanuni bora za kilimo na kudhibiti wadudu waharibifu “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Utafiti wa rutuba ya udongo nchi nzima Utafiti wa virutubisho Data base on soil fertility in all coffee growing areas in Tanzania “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Usambazaji wa kutumia vipeperushi kwa njia rahisi “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Usambazaji wa Teknolojia Ubora wa Kahawa (Amri kumi) q Zingatia amri 10 za kuongeza ubora q% ya ubora wa kahawa unapatikana shambani q Zingatia matumizi ya CPU q Kuwa na kahawa ya Ubora q Bei ipo kwa kahawa nzuri “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Maeneo tunayofanya nayo kazi kufikia sasa Tunafanya kazi na zaidi ya wilaya 40 zinazostawisha kahawa nchi nzima “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Uwezo wa kuzalisha miche aina bora Source Mother plants Ta. CRI sub-stations 85, 600 2, 5680, 000 District nurseries 28, 650 716, 250 138, 692 2, 773, 840 Co-operatives 7, 575 151, 500 Estates 12, 680 253, 600 Individuals 8, 000 160, 000 281, 197 6, 623, 190 Farmer groups Total Annual production “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Idadi ya miche iliyozalishwa na kusambazwa “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Uwezo wa kuzalisha miche aina bora kwa mwaka Annual seedlings produced 3, 500, 000 3, 000 2, 500, 000 2, 000 1, 500, 000 1, 000 500, 000 0 Ta Sub Dis Nur Far Grop Coop Source Estates “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods Indiv
Tumeonyesha njia na kutoa mafunzo kwa wakulima na wagani Mafunzo kwa wakulima > 380, 000, Wagani. 11, 000 “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Mafunzo kwa wakulima viungo v Mkulima kumfundisha mkulima mwenzake v Ni njia mojawapo ya kuharakisha usambazaji wa teknolojia > 3, 800 wakulima viuongo “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Tumeonyesha njia na kutoa mafunzo (To. Ts) kwa wadau wote nchi nzima “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Usambazaji wa tekinolojia kutumia mashamba ya maonyesho > 1300 nchi nzima “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Wadau wenye imani na Ta. CRI “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Tathmini ya viwango vya utafiti kitaifa “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Baadhi ya Wadau wanahoji: Pamoja na teknolojia zote hizi mbona takwimu za uzalishaji bado wastani wa tani 50, 000 tu? Maoni yetu: ü Zifanyike jitihada za kutosha kuhakikisha teknolojia hizi zinatumika na zinaleta ongezeko la uzalishaji kwa ujumla; mfano uwekezaji katika kuzalisha miche aina bora za kahawa (Mkakati wetu milioni 240!, uwezo milioni 7!) ü Takwimu tunazokusanya tunapaswa kuziboresha zaidi: kuna mashamba makubwa yaliyoongezeka au yalizoacha kuwekeza katika kahawa. üKuimarisha mfumo wa soko maeneo ambayo si rasmi ü Mfumo wetu wa masoko uimarishwe ili kudhibiti uuzaji holela na utoroshwaji wa kahawa nje ya nchi ü Mkakati wa kuvutia katika kilimo cha kahawa: Idadi ya wakulima wa kahawa huenda inazidi kupungua kutokana na umri mkubwa! v Wakulima wanaotumia teknolojia za Ta. CRI wamebadili maisha yao kutokana na ongezeko la uzalishaji wa kahawa “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Fursa zilizopo za kuhakikisha teknolojia hizi zinawafikia wakulima wengi zaidi “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Fursa zilizopo-maeneo mapya au ya upanuzi Morogoro: Mvomero (Kinda, Maguruwe, Maskati, Matombo) Geita (Bugando) “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Uwezo wetu ki-rasilimali fedha umepungua q Ili tufanye kazi kwa ufanisi tunahitaji shilingi bilioni 4. 7 q Makusanyo 0. 75% shilingi bilioni 1. 8, au chini zaidi q Upungufu shilingi bilioni 2. 9 hivi au chini zaidi “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Uwezo wetu ki-rasilimali fedha umepungua v 2001 – 2016 tumekuwa na ufadhili wa Umoja Jumuiya ya nchi za Ulaya kupitia EDF 10, sasa tathmini mpya inafanyika kuwa na EDF 11, huenda ikaanza 2019! v Tunawashukuru sana nchi za Umoja wa Ulaya v Pendekezo letu ni kuwa na mfumo thabiti wa kuendeleza maendeleo ya utafiti “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Jitahada ya kuongeza uwezo wa vyanzo vya ndani ü Kuongeza mnyororo wa thamani ya mauzo ya kahawa yanayotokana na mashamba ya Taasisi (Package na kuwa na Brand) ü Kuandika miradi ya kitafiti kuongeza fedha za kufanya utafiti ü Kuongeza uzalishaji wa kahawa toka wastani wa tani 25 mpaka 100 za kahawa miaka 4 -5 ijayo ü Kuuza matokeo ya utafiti yenye haki miliki “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Kukabiliana na changamoto za kitafiti kwa wakati huu Ukame Utafiti kubaini aina zinazo vumilia ukame-Tarime: Matazamio kukamilika Mwishoni 2018 “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Magonjwa na wadudu waharibifu Vithiripi Fuzari au “Fungasi” “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Mdudu mharibifu – Coffee Black Twig Borer Shambulizi “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Andiko kuhusu kahawa: Inalipa au hailipi? Ø Tunaomba kupata mrejesho baada ya kuupitia, ili tuuboreshe zaidi kushauri watunga sera “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Mabadiliko ya Uongozi ndani ya Bodi ya Ta. CRI Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mwenyekiti Mpya “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
Mabadiliko ya Uongozi ngazi ya Taasisi Mkurugenzi aliyemaliza muda wake Mkurugenzi Mpya “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
TUNAOMBA KUWASILISHA “UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA” Improving Income Security and Livelihoods
- Slides: 36