MANENO YA HEKIMA KWA FAMILIA Somo la 5

  • Slides: 11
Download presentation
MANENO YA HEKIMA KWA FAMILIA Somo la 5 kwa ajili ya Mei 4, 2019

MANENO YA HEKIMA KWA FAMILIA Somo la 5 kwa ajili ya Mei 4, 2019

“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako

“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako” (Mithali 3: 5 -6)

Kitabu cha Mithali kina utajiri wa ushauri juu ya mahusiano. Hebu tupitie ushauri wa

Kitabu cha Mithali kina utajiri wa ushauri juu ya mahusiano. Hebu tupitie ushauri wa mithali juu ya familia; mahusiano kati ya wenzi na wazazi na watoto. Ndoa: Uamini Mahusiano Tabia Wazazi: Malezi Elimu

UAMINIFU “Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta;

UAMINIFU “Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili. ”(Mithali 5: 3 -4) Mtu aliye mtauwa huwa anahifadhi (kama hajafungiwa ndoa) na analinda (kama yumo kwenye ndoa) mapenzi yake ya kina kabisa na undani wa unyumba kwa ajili ya ndoa. Mithali 5 huelezea matokeo machungu ya mahusiano haramu ya kingono. Hatari ya kupoteza uzima wa milele (fg. 5) Ukosefu wa kujitoa husababisha uhusiano usio na uhakika (fg. 6) Inaleta uchungu na kukosa furaha (fg. 11 -14) Hivyo, Sulemani anatushauri kufurahia unyumba na wenzi wetu (fg. 15 -17), na daima mfurahie “ mke [au mume] wa ujana [wetu]. ” (fg. 18).

MAHUSIANO “Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na

MAHUSIANO “Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi. ”(Mithali 21: 9) Kuishi darini? Kitabu cha Mithali kimejaa chuku kama hii (19: 24; 27: 14) ambayo inatuhimiza kuyataza mahusiano kwa ucheshi. Hali ya ucheshi hurahisisha mawasiliano. Husaidia kushugulikia mambo kwa urahisi. Hata hivyo, ucheshi usitumiwe kuhafifisha au kukwepa mambo mazito. Mabishano, manung’uniko ya mara kwa mara na malalamiko ni dalili za mahusiano mabaya. Kwa hiyo, mawasiliano ya kweli na ya wema ni ufunguo kwa mahusiano mazuri ya familia.

“Wala mume au mke hawapaswi kujaribu kufanya kazi juu ya mwingine udhibiti wa kiholela.

“Wala mume au mke hawapaswi kujaribu kufanya kazi juu ya mwingine udhibiti wa kiholela. Usijaribu kulazimisha kila mmoja kukubaliana na matakwa yako. Huwezi kufanya hivyo na kuhifadhiana upendo wa kila mmoja. Kuwa wema, mwenye subira, na uvumilivu, mwenye busara, na mwenye heshima. Kwa neema ya Mungu mnaweza kufanikiwa kufanya kila mmoja awe na furaha, kama katika ahadi yenu ya ndoa ulivyoahidi kufanya. ” E. G. W. (The Adventist Home, p. 118)

“Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. ”

“Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. ” (Mithali 31: 10) Mithali 31: 10 -31 ni utenzi. Kila fungu la shairi huanza na herufi ya aphabeti za kiebrania. Shairi hili inaelezea sifa za mke mwema. Idadi ya sifa za mke bora (au mume) zinaweza onekana zisizotekelezeka kufanya kujisikia vibaya. Wazo kuu sio kutimiza orodha hiyo, bali kufanya kila kitu vizuri zaidi kadri tunavyoweza (Mhubiri 9: 10; Wakolosai 3: 23). TABIA

“Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. ”

“Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. ” (Mithali 31: 10) Tunahimizwa kutengeneza tabia ya mke huyo: Anayeaminika (fg. 11) Wema (fg. 12) Bidii ya kazi (fg. 15) Uaminifu (fg. 18) Huruma (fg. 20) Anayetegemewa (fg. 25) Siri ya kutengeneza tabia hizo ni kumcha Mungu (fg. 30). TABIA

MALEZI “Kumcha Bwana ni tumaini imara; Watoto wake watakuwa na kimbilio. ” (Mithali 14:

MALEZI “Kumcha Bwana ni tumaini imara; Watoto wake watakuwa na kimbilio. ” (Mithali 14: 26) Je; Mithali hufundisha nini kuhusu tabia za wazazi? Familia kwanza kazi baadaye (15: 27) Kuwa na Subira na tawala hisia (12: 16; 15: 1) Kuwaadhibu watoto wako bila matumizi mabaya ya mamlaka (16: 6) Kuwa mwaminifu na kumheshimu mwenzi wako (5: 18) Mfuate Yesu na uongozwe na Neno la Mungu na upendo wake (30: 5) Wenzi na wazazi wenye hekima hutafuta msaada wa Mungu ili kufanya maamuzi sahihi.

ELIMU “Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema. ”(Mithali 13:

ELIMU “Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema. ”(Mithali 13: 24) Mti mdogo unahitaji kuvutwa, kutunzwa na kulindwa ili kukua vizuri. Vivyo hivyo, watoto wanahitaji kuadhibiwa tangu umri mdogo kujenga tabia njema (Mithali 19: 18). Kufundisha kwa upendo na Subira visivyo koma ni siri ya nidhamu isahihishayo na kukomboa, sambamba na kielelezo endelevu. Dhambi huathiri wote wazazi na Watoto, hivyo ni muhimu kutafuta mwongozo na nguvu kutoka kwa Mungu ili kuwafundisha Watoto wetu na kuwaelekeza kwa kristo.

E. G. W. (The Adventist Home, cp. 23, p. 160) “Huruma, uvumilivu, na upendo

E. G. W. (The Adventist Home, cp. 23, p. 160) “Huruma, uvumilivu, na upendo unaohitajika katika kushughulika na Watoto, vitakuwa baraka katika kaya yoyote. Wangeweza kunyoosha na kuzishinda tabia katika wale wanaohitaji kuwa na furaha zaidi na kupumzika. Kuwepo kwa mtoto katika nyumba hupendeza na kutakatisha. Mtoto aliyelelewa katika hofu ya Bwana ni baraka. Kujali na upendo kwa watoto walio tegemezi huondoa ukali kutoka kwa asili zetu, hutufanya wapole na wenye huruma, na ina ushawishi wa kuendeleza mambo ya kiungwana ya tabia yetu. ”