KUGEUZA MIOYO KATIKA WAKATI WA MWISHO Somo la

  • Slides: 9
Download presentation
KUGEUZA MIOYO KATIKA WAKATI WA MWISHO Somo la 13 kwa ajili ya Juni 29,

KUGEUZA MIOYO KATIKA WAKATI WA MWISHO Somo la 13 kwa ajili ya Juni 29, 2019

“Kabla ya kuja siku ya Bwana, ” Eliya anakuja kwa kielelezo kuwapatanisha wazazi na

“Kabla ya kuja siku ya Bwana, ” Eliya anakuja kwa kielelezo kuwapatanisha wazazi na watoto wao. Mtu ameitwa kutimiza utume wa Eliya kabla ya kuja kwa Yesu mara ya pili. Ni kwa jinsi gani Eliya alizipatanisha familia? Ni kwa namna gani Yohana mbatizaji alifanya? Ni kwa jinsi gani tunaweza kufanya leo? Unabii juu ya mapatano: Malaki 4: 5 -6 Aliye mfano wa kuigwa wa mapatano: Eliya na familia (1 Wafalme 17) Eliya na Kanisa (1 Wafalme 18) Kutimizwa kwa Unabii: Yohana Mbatizaji Mapatano katika wakati wa mwisho: Eliya wa leo

UNABII JUU YA MAPATANO “Angalieni, nitawapelekea Eliya nabii, kabla haijaja siku ile ya BWANA,

UNABII JUU YA MAPATANO “Angalieni, nitawapelekea Eliya nabii, kabla haijaja siku ile ya BWANA, iliyo kuu na kuogofya, Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana. ”(Malaki 4: 5 -6 NIV) Kuna nyanja mbali za mapatano katika unabii huu: Upatanifu wa Mungu, Baba, kwa watoto wake. • Mungu huwasamehe watoto wake na huwashauri wamrudie yeye (Mika 7: 18 -19; Isaya 44: 22) Upatanifu wa watoto kwa urithi wa baba zao • Kujikita katika agano la wazee wetu pamoja na Mungu (Kumbukumbu la Torati 4: 29 -31) Upatanifu wa wazazi kwa watoto • Kurejesha amani na kuelewana ndani ya familia (Mithali 4: 3 -4)

ELIYA NA FAMILIA Ufalme wa Israeli ulimwacha Mungu. Wakayafuata mafundisho yaliyozitukuza ndoa, familia na

ELIYA NA FAMILIA Ufalme wa Israeli ulimwacha Mungu. Wakayafuata mafundisho yaliyozitukuza ndoa, familia na matendo halisi ya kujamiana ambayo yalichochea ukahaba, mahusiano ya kimapenzi kati ya ndugu na unyanyasaji wa kingono. “Ondoka, uende Sarepta, ulio mji wa Sidoni, ukae huko. Tazama nimemwagiza mwanamke mjane wa huko akulishe. ” (1 Wafalme 17: 9) Eliya aliitwa kuipinga hali hiyo, na badae akimbie kuokoa maisha yake. Ukame ulipokithiri, alitambulishwa kwa mwanamke mjane aliyempokea. Imani yake ilikuwa imara (Luka 4: 26), lakini alifikiria kwamba kufa kwa mtoto wake ni madhara ya dhambi zake (mama) (Mika 6: 7). Nguvu za Mungu zinaweza kuzirejesha familia, na imani katika Mungu na Neno lake likainuka upya ndani ya moyo wake.

ELIYA NA KANISA “Kisha Eliya akawaambia watu wote, nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. Akaitengeneza

ELIYA NA KANISA “Kisha Eliya akawaambia watu wote, nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. Akaitengeneza madhabahu ya Bwana iliyovunjika. ” (1 Wafalme 18: 30) Hatua ya kwanza ya Eliya ilikuwa ni kuwaambia watu wamkaribie. Yesu pia anatukaribisha tumkaribie (Mathayo 11: 28). Katika hatua ya pili, akaitengeneza madhabahu. Je, kuna madhabahu zozote zinatotakiwa zitengenezwe upya katika maisha yako? Madhabahu ya familia yako ikoje? Hatimaye , moto ukashuka wakati wa kafara ya jioni. moto haukushuka kwa waovu, lakini juu ya kafara [Yesu]. Watu [Kanisa] wakasifu sana na kuziacha dhambi [hivyo kuwaua manabii wa uongo]. Hatimaye watu walikuwa wamepatana na Mungu, na chemi za mibaraka zikashuka.

Yohana alitimiza utume wake wa upatanifu kwa kuhubiri kanuni kuu mbili: 1. Toba (Mathayo

Yohana alitimiza utume wake wa upatanifu kwa kuhubiri kanuni kuu mbili: 1. Toba (Mathayo 3: 1 -2) 2. Kubadilika tabia (Mathayo 3: 8) Yohana aliwaongoza watu kujipatanisha wenyewe kwa Mungu kwanza. Badae, kwa msaada wake, kutafuta utakatifu (kama ilivyokuwa kwa wazee wao). Tunapobadilika tabia zetu, tunaweza pia kujipatanisha wenyewe kwa wengine. Hivi ndivyo Yohana alivyowaandaa watu kumpokea Mwokozi. Alifanikiwa sana mpaka wanafunzi wake mwenyewe walimwacha na kumfuata Yesu YOHANA MBATIZAJI “Na ikiwa mnataka kukubali, yeye [Yohana] ndiye Eliya atakayekuja. ” (Mathayo 11: 14)

“Naye atatangulia mbele zake katika roho ya Eliya, na nguvu zake, ili kuigeuza mioyo

“Naye atatangulia mbele zake katika roho ya Eliya, na nguvu zake, ili kuigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto, na kuwatilia waovu akili za wenye haki—na kumwekea Bwana tayari watu waliotengenezwa. ” (Luka 1: 17) ELIYA WA LEO Baba yetu wa Mbinguni ameigeuza mioyo ya watoto wake kumrudia yeye na ameigeuza mioyo ya watoto wake kila mmoja kwa mwenzake kupitia Msalaba wa Kristo. Hivyo amepewa huduma ya upatanisho kwetu (2 Wakorintho 5: 18). Ni lazima tuwaandae watu kumpokea Yesu anaporudi mara ya pili. Ujumbe hauwezi kupokelewa ikiwa wajumbe hawakiishi kile wanachokihubiri. Ushuhuda ulio na nguvu zaidi ni ule wa maisha ya mtu binafsi na familia ambavyo vinaonyesha toba, uongofu wa kweli, upendo na huduma halisi kwa wengine.

“Pale ambapo kama watu kazi zetu zitaendana na taluma zetu, tutaona mengi sana yakitimizwa

“Pale ambapo kama watu kazi zetu zitaendana na taluma zetu, tutaona mengi sana yakitimizwa kuliko sasa. Tukiwa na watu waliojitoa kama Eliya, na wakiwa na imani kama aliyokuwa nayo, tutaona kwamba Mungu anajifunua kwetu kama alivyofanya kwa watakatifu wa zamani. Tukiwa na watu ambao, wakati wakitambua madhaifu yao, watamwomba Mungu katika imani ya dhati kama alivyofanya Yakobo, tutaona matokea kama yale. Nguvu itashuka kutoka kwa Mungu kuja kwa mtu katika kujibu ombi la imani. […] Ni lazima tuwe na huduma ongofu, na ndipo tutakapoona nuru ya Mungu na nguvu yake zikisaidia jitihada zetu. ” E. G. W. (Testimonies for the Church, vol. 4, p. 402)

“Leo, katika roho na nguvu ya Eliya na ya Yohana Mbatizaji, wajumbe wa ahadi

“Leo, katika roho na nguvu ya Eliya na ya Yohana Mbatizaji, wajumbe wa ahadi ya Mungu wanawaita watu kuwa tayari kwa hukumu-kufunga ulimwengu kwaajili ya matukio makini yatakayotokea yakiambatana na saa ya mwisho ya Rehema na kurudi kwa Yesu Kristo ka a Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana. Mapema kila mtu atahukumiwa kwa aliyatenda katika mwili. Saa ya hukumu ya Mungu imekuja, na juu ya kila mshiriki wa kanisa lake duniani umewekwa wajibu makini wa kutoa onyo kwa wale wanaosimama kama ilivyokuwa katika uharibifu wa milele. Kwa kila mtu katika ulimwengu ambaye atadhibitika, kanuni ambapo hatima ya kila mwanadamu imewekwa. ” E. G. W. (Prophets and Kings, cp. 59, p. 716)