INUKA NA UANGAZE By Almodad Amos Barua ya
INUKA NA UANGAZE By Almodad Amos
Barua ya 1 Korinth ilitumwa na Paulo na Sosthenes kwa jamii ya waumini katika jiji la Korintho. Barua hii kwa seemu kubwa ni mtiririko wa mambo madogo, ambayo kila moja lililenga hali flani isiyokuwa ya kawaida katika mwenendo/imani ya waumini wa kanisa la Korintho. Mtindo alioutumia Paulo ulikua ule wa kutambua uwepo wa dhambi au tatizo na kuelekea hatua nyingine ya kukemea, n. k. The College Press NIV commentary (1 Co 1: 1). Joplin, Mo. : College Press Pub. Co.
PAUL Alifahamika, aliheshimika na alitarajiwa kuwa mtu wa muhimu sana kwa viongozi wa kiyahudi. Ni moja kati ya wainjilisti ambao walifikia mafanikio makubwakatika shughuli za kiinjilisti Mwi-sraeli halisi, wa kabila la benjamini, " Sauli Alikuwa“ Mwebrania wa Waebrania; Kwa habari ya sharia alikuwa Farisayo Kwa habari ya Uzalendo – Alilitesa kanisa, kwa habari ya haki kwa njia ya matendo/sheria hakuwa na sababu ya kulaumiwa Waalimu (Ma-rabi) walikuwa na matarajio makubwa, na matumaini makuu yaliwekwa kwake kama kijana mwenye uwezo na mzalendo ambaye angeilinda sana Imani ya kale (Imani ya mapokeo). Kupata kwake cheo kilichomuweka katika Sanhedrin kulimuweka Sauli katika sehemu nzuri ya kuweza kutekeleza kile alichotarajiwa kukifanya {AA 112. 1}
q Mzaliwa wa Taso AA 98; Ed 64, Gentile city Ed 64 q Raia wa Rumi kwa Kuzaliwa q Alifahamika kwa jina Sauli: DA 233 q Myahudi kiukoo AA 112; Ed 64 q Alikuwa mtu anayefahamika sana 6 BC 1065 q Alipitia mikononi mwa : Gamaliel 6 BC 1065, 1084 Huyu ndiye aliyekuwa mkufunzi wa wakufumzi. AA 112; Ed 64 m. Alikuwa mkufunzi wa elimu ya kuu kabisa kuliko wengine 6 BC 1065 q Alipata elimu ya Ma-rabi na Ma-farisayo SR 274 q Elimu ya sayansi na Fasihi 6 BC 1084 q Mtu mwenye elimu nyingi, hekima na uzalendo SR 302
Aliapa kulifyeka kanisa la awali la Kikristo. Alipata barua kutoka kwa makuhani, iliyompa mamlaka ya kuwakamata wafuasi wa Kristo kule Dameski Siku moja akiwa njiani kuelekea Dameski. . . .
1: 17 Maana Kristo hakunituma ili nibatize, bali niihubiri Habari Njema; wala si kwa hekima ya maneno, msalaba wa Kristo usije ukabatilika. Paulo anajua kuwa ubatizo ulikua umekuwa moja kati ya sababu za makwazo na magomnvi katika Korintho, na hakutaka kushiriki katika ugomnvi au kuwaachia mawazo kuwa aliunga mkono kutokuelewana kwao juu ya ubatizo ambao ulikua umelenga mambo binafsi ya wachache ambao walifanya ubatizo huo. o Lazima tuelewe utume wetu kama kanisa: ü Idara ya vijana haiishiii kwenye gwaride na ukakamavu au nishani ü Idara ya shule ya sabato hailengi kuwa na program zenye kuvutia wasikilizaji ü Kwaya zetu haziishii kuwa na nyimbo zenye mvuto, na sare, na safari, dvd/cd ü Mahubiri yetu hayatakiwi kulenga kwenye kutafuta umaarufu/sifa/mishahara o Utume wetu unakusudiwa/unalenga katika kuokoa watu dhambini na kuwafanya kuwa wanafunziwa Kristo. o Kila shughuli (Program, hubiri, idara, chama) kanisani isiyolenga ktk injili haina maana ---Kanisa siyo chombo cha burudani--- ni karakana ya kutengeneza tabia
1: 17 Maana Kristo hakunituma ili nibatize, bali niihubiri Habari Njema; wala si kwa hekima ya maneno, msalaba wa Kristo usije ukabatilika. Jambo lililo kuu katika kukataa kuweka mkazo katika ubatizo huu ulikuwa ushahidi kuwa Paulo aliweka mkazo katika utume wa agizo la kuitangaza injili ambalo alipewa na Kristo mwenyewe. o Badilisha mahali ulipoweka mkazo wa shughuli zako. Biblia inatushauri mara kadhaa kuweka mkazo katika mambo ya anga za juu Zaidi kuliko maisha haya: Watu wengi leo wamechagua kuweka mkazo katika mambo ya ulimwengu huu: - Mahusiano ya ngono - Maisha ya ulevi na madawa ya kulevya - Katika muziki wa anasa za ulimwengu huu zisizokuwa na faida yoyote ile - Katika kumbi za starehe zisizofaa maishani mwa msafiri wa kwenda mbinguni
1: 17 Maana Kristo hakunituma ili nibatize, bali niihubiri Habari Njema; 1: 18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Nini kilicho cha muhimu sana? ? AMRI ZA MUNGU – REHEMA YA YESU SABATO TAKATIFU – NEEMA YA KRISTO MAHUBIRI MAZURI – UONGOFU WA KWELI MAJENGO MAZURI – WOKOVU KAMILI MAFUNDISHO YA IMANI ZA MSINGI – KUMWAMINI YESU KUJUA HABARI ZA YESU – KUMJUA YESU
1. TUNAYO MAHITAJI MENGI SANA LEO HII DUNIANI KOTE. . . v. Tunahitaji neema katika maeneo yalitafunwa na vita v. Tunahitaji chakula na mavazi katika nchi zilizochakaa kwa umaskini v. Tunahitaji familia zenye upendo, haki zetu, kazi nzuri, heshima, n. k. -- Hatuwezi kupuuzia lolote juu ya hayo maana yana umuhimu mkuu 2. LAKINI BADO HITAJI KUU LA ULIMWENGU HUU, NI INJILI YA WOKOVU Kumfikishia ujumbe kila mtu kuufikisha ujumbe kila mahali
1…. HITAJI HILI NI KUBWA SANA A. HALI YA ULIMWENGU SASA. . . 1. Ma-bilioni wanakufa wakiwa dhambini! a. Wote wametenda dhambi - Ro 3: 23 b. Pasipo Yesu wote watakufa dhambini- Jn 8: 24 2. Maana yake ni nini? ? ? a. Ndugu, marafiki na majirani watakufia dhambini b. Maana wakristo walio wengi hawafanyi juhudi kuwafundisha c. Roho za thamani kubwazitaangamia kwa kuikosa injili b. Kwa kuwa wakristo walio wengi hawataki kwenda
B. THE CONDITION OF THE CHURCH. . . 1. Makanisa mengi yamesahau mwelekeo a. Yamekuwa hata Zaidi ya majumba ya burudani b. Huduma zimekuwa zile za kihisia na kiburudani c. wamejitwika mzigo ambao ni wajibu wa wengine kuubeba 1 Ti 5: 16 2. Na makanisa mengi yanapoteza idadi kubwa ya waumini a. wapo wanaoanguka na kufa, lakini wanaoingia ni wachache b. na mara nyingi idadi kubwa ya waumini wapya ni wale waliohamia katika makazi mapya nasio wale waongofu wapya
Matthew 18: 18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; q Neno hili enendeni ni kwa ajili ya wote: Ø Si kutoa pesa tu Ø Si kutoa mawazo tu Ø Si kushawishi wenzio tu Ø Si kutafuta visingizio Ø Si kwamba huna la kufanya Ø Bali ni kwenda q Watu wote duniani wanahusika katika kazi hii ya Mungu wala hakuna kuepuka na ukaingia mbinguni…. .
- Slides: 13