HAKI ZA VIJANA NA AFYA YA UZAZI Na

  • Slides: 37
Download presentation
HAKI ZA VIJANA NA AFYA YA UZAZI Na: Dr. Z. Majapa

HAKI ZA VIJANA NA AFYA YA UZAZI Na: Dr. Z. Majapa

Nini maana ya ujana? • Ni kipindi cha mpito toka utoto kuingia utu uzima

Nini maana ya ujana? • Ni kipindi cha mpito toka utoto kuingia utu uzima • Kina ambatana na mabadiliko ya kimwili, kiakili, na kimaendeleo • Mabadiliko hayo huleta mabadiliko ya kitabia • Tabia zao zinahusiana na mahali anapoishi, mila na desturi zilizopo, malezi aliyopata wakati wa utoto wake.

Nini maana ya kijana • Ni umri wa miaka 10 – 19 (WHO wanagawa

Nini maana ya kijana • Ni umri wa miaka 10 – 19 (WHO wanagawa umri kama ifuatavyo) • Miaka 10 – 19 = (adolescents) kijana balehe • Miaka 10 – 24 = (Young people) • Miaka 15 – 24 = (youth) Mgawanyo huu unatokana na hatua za ukuaji, mahitaji na matatizo yanavyojitokeza katika umri husika.

Afya ya ujinsia • Ni hali ya mtu kuwa mzima ambapo anaweza kufurahia maisha

Afya ya ujinsia • Ni hali ya mtu kuwa mzima ambapo anaweza kufurahia maisha ya ujinsia bila kuwa na wasi wa kupata maumivu, mimba au magonjwa yatokanayo na ngono. • Afya ya ujinsia ni kipengele katika afya ya uzazi

Afya ya uzazi • Ni hali ya kuwa salama kimwili, kiakili, kiuchumi na kijamii

Afya ya uzazi • Ni hali ya kuwa salama kimwili, kiakili, kiuchumi na kijamii na siyo tu hali ya kutokuwa na ugonjwa au ulemavu katika masuala yote yanayohusu mvumo mzima wa uzazi na jinsi unavyofanya kazi. ( ikiwa ni pamoja na watu (mtu na mke) kuwa na uwezo wa kuzaa na uhuru wa kuamua kama wanataka kupata mtoto, lini, na wototo hao wapishane muda gani.

Afya ya uzazi kwa vijana • Hii ni hali ya kuwa salama kimwili, kiakili,

Afya ya uzazi kwa vijana • Hii ni hali ya kuwa salama kimwili, kiakili, na kijamii na sio tu hali ya kutokuwa na ugonjwa au ulemavu katika masuala yote yanayohusu mfumo mzima wa uzazi na jinsi unavyo fanya kazi katika umri wa ujana. • Hii inajumuisha hali ya kijana kufurahia maisha yake ya kuwa mwanamke au mwanaume bila kunyanyaswa, kutopata magonjwa yatokanayo na ngono na kupata mimba au kusababisha mimba isizotarajiwa

Umuhimu wa kushughulikia haki ya jinsia na uzazi kwa vijana Kundi la vijana katika

Umuhimu wa kushughulikia haki ya jinsia na uzazi kwa vijana Kundi la vijana katika jamii ni kubwa: • 65% ya wa Tanzania ni wa umri chini ya miaka 25 • 31% vijana wa umri wa kati ya miaka 10 – 24 • 12% ya wanawake wanaopata watoto ni kati ya miaka 15 – 19 • Wasichana wengi hujihusisha na kujamiiana wakiwa na miaka 17 na wavulana 18

Umuhimu …. . • Vijana wako katika hatari ya kuambukizwa magonjwa y ngono ukiwamo

Umuhimu …. . • Vijana wako katika hatari ya kuambukizwa magonjwa y ngono ukiwamo ukimwi • Hali ya uchumi inachangia vijana kujiingiza katika masuala ya ngono mapema ikiwa nipamoja na kuoa/kuolewa mapema • Ni haki yao kupatiwa ushauri, habari na huduma ya afya ikiwemo afya ya uzazi

Mwongozo wa sera ya afya ya uzazi na mtoto Kitaifa Maeneo yaliyopewa kipaumbele nchini

Mwongozo wa sera ya afya ya uzazi na mtoto Kitaifa Maeneo yaliyopewa kipaumbele nchini Tanzania: • Uzazi wa mpango • Uzazi salama • Kuzuia na na kutibu magonjwa ya ngono ikiwa ni pamoja na ukimwi • Afya ya mtoto • Afya ya jinsia na afya ya uzazi kwa vijana.

Vipengele vya huduma za afya ya uzazi kwa vijana • Uzazi wa mpango ikiwa

Vipengele vya huduma za afya ya uzazi kwa vijana • Uzazi wa mpango ikiwa ni pamoja na njia za dharura • Huduma baada ya kutoka kwa mimba • Elimu ya ushauri kuhusuafya ya uzazi kuzuia na kutoa huduma kwa maambukizi ya magonjwa ya ngono ikiwa ni pamoja na ukimwi

Haki za afya ya uzazi kwa vijana: Nini maana ya haki? • Ni kitu

Haki za afya ya uzazi kwa vijana: Nini maana ya haki? • Ni kitu ambacho kila mtu kama binadamu anastahili na anaweza kudai kisheria. • Haki inaenda sambamba na suala zima la uwajibikaji.

Kazi ya kikundi NI ZIPI HAKI ZA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA?

Kazi ya kikundi NI ZIPI HAKI ZA AFYA YA UZAZI KWA VIJANA?

Haki za afya ya uzazi kwa vijana 1. Haki ya kuwa na afya bora

Haki za afya ya uzazi kwa vijana 1. Haki ya kuwa na afya bora ya afya ya uzazi 2. Haki ya kuwa huru kufanya maamuzi kuhusu mahusiano ya kijinsia 3. Haki ya kupata elimu , habari kuhusu afya ya ujinsia na uzazi 4. Haki ya kuwa huru kutokana na unyanyasaji wa kijinsia 5. Haki ya mtu kuulinda mwili wake

6. Haki ya kupata huduma bora ya afya ya uzazi inayokidhi mahitaji ya mtu

6. Haki ya kupata huduma bora ya afya ya uzazi inayokidhi mahitaji ya mtu binafsi na ambazo anazoweza kumudu Haki za afya ya uzazi kwa vijana… 7. Haki ya kulindwa kutokana na hatari zote zinazotokana namagonjwa ya kujamiiana ikiwa ni pamoja na ukimwi 8. Haki ya faragha na usiri wakati wa kupatiwa huduma ya afya ya uzazi 9. Haki ya kudai haki, kuridhia na kuheshimiana katika mahusiano ya kimapenzi

Kazi ya kikundi - buzz Ni vikwazo gani vinavyomfanya kijana asitumie haki zake za

Kazi ya kikundi - buzz Ni vikwazo gani vinavyomfanya kijana asitumie haki zake za afya ya uzazi?

Vikwazi vinavyoweza kuzuia kijana asitumie haki zake za uzazi • Mtazamo wa mtoa huduma

Vikwazi vinavyoweza kuzuia kijana asitumie haki zake za uzazi • Mtazamo wa mtoa huduma huhusu afya ya uzazi kwa vijana • Imani za dini • Mila na desturi • Ukosefu wa miongozo kuhusu afya ya uzazi kwa vijana • Huduma zilizopo hazikidhi mahitaji ya afya ya uzazi kwa vijana • Sera na sheria zilizopo hazikidhi mahitaji ya afya ya uzazi kwa vijana

Vikwazo …. . • Utoaji wa habari nchini na huduma za afya ya uzazi

Vikwazo …. . • Utoaji wa habari nchini na huduma za afya ya uzazi kwa vijana, hauna msukumo unaohitajika kutoka kwa baadhi ya wanarika, familia jamii na watoa huduma • Watoa huduma hawana uelewa na stadi za kutosha kuhusu utoaji habari, elimu na huduma za afya ya uzazi kwa vijana • Vijana hawapewi nafasi ya kushiriki katika huduma za afya ya uzazi kwa vijana

Viwango vya utoaji wa huduma za afya ya uzazi Tanzania

Viwango vya utoaji wa huduma za afya ya uzazi Tanzania

Viwango vya huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana 1. Vijana wote kuweza

Viwango vya huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana 1. Vijana wote kuweza kupata habari na ushauri unaostahili kuhusu afya ya uzazi kulingana na mahitaji, mazingira, upeo na hali ya ukuaji 2. Vijana wote kuweza kupata huduma za afya ya uzazi ikiwa ni pamoja na kinga, uboreshaji, tiba na ukarabati ambazo ni sahihi kulingana na mahitaji 3. Vijana wote kufahamishwa haki za afya ya uzazi na haki hizo kulindwa na watoa huduma na wanajamii

Viwango… 4. Watoa huduma katika vituo vyote wawe na ufahamu, stadi na mtazamo chanja

Viwango… 4. Watoa huduma katika vituo vyote wawe na ufahamu, stadi na mtazamo chanja wa utoaji huduma za afya ya uzazi; huduma zitolewe kwa ufanisi na ziwe rafiki kwa vijana 5. Sera na mifumo iwepokatika vituo ili kusaidia utoaji wa huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana

Viwango … 6. Vituo vyote vya huduma kupangiliwa ili kutoa huduma rafiki za afya

Viwango … 6. Vituo vyote vya huduma kupangiliwa ili kutoa huduma rafiki za afya ya uzazi kulingana na matakwa ya vijana 7. Kuwepo kwa taratibu imara za jamii na katika familia za kusaidia vijana kupata huduma za afya ya uzazi

MABADILIKO KATIKA KIJANA BALEHE

MABADILIKO KATIKA KIJANA BALEHE

Kazi ya makundi Elezea mabadiliko ya kiakili katika makuaji na maendeleo ya kijana katika

Kazi ya makundi Elezea mabadiliko ya kiakili katika makuaji na maendeleo ya kijana katika umri husika

Hatua za makuzi na mabadiliko katika maendeleo kwa vijana • Umri wa kati ya

Hatua za makuzi na mabadiliko katika maendeleo kwa vijana • Umri wa kati ya miaka (10 -13) • Umri wa Kati ya miaka (14 -16) • Kijana wa rika kubwa miaka (17 -19)

Mabadiliko yanayotokea kwa wasichana • Mwili kukua, kupanuka kwa nyonga, kukua kwa matiti •

Mabadiliko yanayotokea kwa wasichana • Mwili kukua, kupanuka kwa nyonga, kukua kwa matiti • Ngozi kuwa nyororo, chunusi usoni • Kukua kwa via vya uzazi • Kuvuja ungo • Kuongezeka kwa hamu ya mahusiano ya kijinsia • Kupenda kuonekana nadhifu

Mabadiliko kwa wavulana • • • Kuongezeka urefu, uzito, kukua kwa misuli Sauti kuwa

Mabadiliko kwa wavulana • • • Kuongezeka urefu, uzito, kukua kwa misuli Sauti kuwa nzito Kuota chunusi usoni Kuota nywele sehemu za siri Kupata hamu ya kujamiiana

Mabadiliko ya kiakili katika umri tofauti kwa wasichana na wavulana Umri wa miaka 10

Mabadiliko ya kiakili katika umri tofauti kwa wasichana na wavulana Umri wa miaka 10 – 13 • Tabia ya kujaribu mambo • Uwezo wa kuchanganua mambo • Kupenda marafiki nje ya familia • Kupenda uamua mambo mwenyewe • Kupenda kusikiliza mawazo wa wanarika

Umri wa miaka 14 - 16 • Kupenda kuuliza dhamira za mitazamo na sera

Umri wa miaka 14 - 16 • Kupenda kuuliza dhamira za mitazamo na sera mbali • Kukua kwa uwezo wa kufikiri matokeo ya tabia hatarishi • Kuongezeka zaidi kwa msukumo wa makundi rika • Kuongezeka kwa hamu ya kujamiiana na kupenda marafiki wa jinsi tofauti

Umri wa kati ya miaka 17 - 19 • Kupevuka kwa via vya uzazi

Umri wa kati ya miaka 17 - 19 • Kupevuka kwa via vya uzazi • Kukua kwa uwezo wa kutatua matatizo • Kukua kwa uwezo wa kujitambua • Kupungua kwa msukumo wa makundi rika

 • Kushirikiana na familia/ kutoa mawazo yake • Kutopenda kukaa katika magurupu •

• Kushirikiana na familia/ kutoa mawazo yake • Kutopenda kukaa katika magurupu • Kukua kwa uwezo wa kushika majukumu ya familia • Anaelekea katika maisha ya kujitegemea

Via vya uzazi na kazi zake

Via vya uzazi na kazi zake

Via vya uzazi na kazi zake • Kwa wanaume: Via vya uzazi vya mwanaume,

Via vya uzazi na kazi zake • Kwa wanaume: Via vya uzazi vya mwanaume, vimegawanyika katika makundi mawili, vya nje na vya ndani.

Via vya uzazi vya nje vya mwanaume • Uume: Uume ni mrija wa kupitishia

Via vya uzazi vya nje vya mwanaume • Uume: Uume ni mrija wa kupitishia mkojo na shahawa, hukakamaa wakati wa kujamiiana ili kurahisisha wakati wa kuingia ukeni. • Mfuko kende: Ni ngozi inayofunika kokwa. Kazi za mfuko wa kende ni kulinda kende dhidi ya joto, baridi au kuumizwa.

Via vya ndani vya mwanaume • Mrija wa mkojo: Ni mrefu, mwembamba unaopita ndani

Via vya ndani vya mwanaume • Mrija wa mkojo: Ni mrefu, mwembamba unaopita ndani ya uume. • Tezi ya prosteti: Ni tezi iliyo karibu na kibofu cha mkojo na kifuko cha shahawa. Kazi zake, kuteneneza maji ambayo huchanganyika na shahawa.

 • Vifuko vya shahawa: Ni tezi mbili ndogo, zilizo karibu na tezi ya

• Vifuko vya shahawa: Ni tezi mbili ndogo, zilizo karibu na tezi ya prosteti. Kazi zake ni kutoa shahawa inayochanganyika na mbegu za kiume na inavirutubisho. • Mirija ya kusafirishia mbegu: Ni vifereji viwili vinavyotoka kwenye kende na kuunganika na mrija wa mkojo. Kazi zake ni kupitisha mbegu za kiume toka kwenye kende.

 • Kokwa: Ni tezi mbili zilizo kwenye mfuko wa kende. Kazi zake ni

• Kokwa: Ni tezi mbili zilizo kwenye mfuko wa kende. Kazi zake ni kutengeneza na kuhifadhi mbegu za kiume. Pia zinatengeneza vichocheo vinavyosababisha uume kusimama. • Epididimisi: Ni kifereji kilicho jiviringa na kipo juu ya kokwa. Kazi zake ni kuhifadhi mbegu za kiume zilizokomaa na kuzipitisha kwenda kwenye mrija wa kusafirishia mbegu.

Via vya uzazi vya mwanamke Via vya nje. • Mashavu ya ndani na nje

Via vya uzazi vya mwanamke Via vya nje. • Mashavu ya ndani na nje • Kisimi Via vya ndani: • Uke • Shingo ya mji wa mimba • Mirija ya kupitisha mayai • Kokwa