BIASHARA YA USAFIRISHAJI WASICHANA INAVYOSHAMIRI TANZANIA Gazeti Tumaini
BIASHARA YA USAFIRISHAJI WASICHANA INAVYOSHAMIRI TANZANIA Gazeti: Tumaini Letu Mwandisi: Alex Kachelewa, kutoka Tumaini Media, (Tanzania, Tabata, Dar es Salaam. 23. 08. 2018) Acceleration of Gender-responsive Sustainable Development Goals localisation
SYNOPSIS • Kwa miaka mingi nchini Tanzania kumekuwa na tatizo la ajira kwa vijana wakiwemo wasichana, hivyo wengi wameona kusafirishwa kutoka vijini na kwenda kufanya kazi za ndani mijini ni farari kwao na kutawasaidia kujikwamua na wimbi la umaskini wazazi wao kwenye familia zao. • Kutokana na kukithiri kwa umasikini kwa baadhi ya familia hasa maeneo ya Vijijini, wasichana wengi wamekuwa wakichukuliwa kulaghaiwa na kusafirishwa huku wakinyonywa maslahi yao. • Wanapofika maeneo ya mijini ikiwemo, Dar es Salaam, Zanzibar na nje ya nchi ikiwemo Oman, Saudia na kadhalika wanakuna yale matumaini yao hayapo na badala yake wanaambulia mateso makubwa kuliko vile ambavyo waliahidiwa. • Hii ni habari muhimu katika masuala ya Gender na yenye kugusa masuala ya wanawake kwa sababu wanasichana wengi wanaotumikishwa kazi za majumbani ni wawale wadogo ambao wanastahili kuwa shuleni. Acceleration of Gender-responsive Sustainable Development Goals localisation
GENDER AWARENESS RATING SCORE (1 -10) The subject is either specifically about gender or one in which gender is mainstreamed. Women and men (boys and girls) views are consulted equally and given equal weight. The article/programme consults the views of those who make decisions as well as those affected. Male and female sources are treated with dignity and respect. The article/programme challenges gender stereotypes and embraces diversity. The article/programme prompts gender awareness through informed public debate. Relevant statistics are disaggregated by gender. The article/programme takes a rights based approach. The article/programme provides fresh views on every day news. The article/programme is bold and courageous. TOTAL 10 10 100
MALENGO ENDELEVU YA MELENIA • Malengo endelevu ya Melenia lengo namba 5. 2 linaeleza kuondolewa kwa vitendo vyovyote vya unyanyasaji wa wanawake na wasichana katika jamii na sekta binafsi, ikiwemo biasharamu ya usafirishaji wasichana na wanawake, vitendo vya ngono na aina yoyote ya unyanyasaji dhidi yao. Acceleration of Gender-responsive Sustainable Development Goals localisation
BACKGROUND • Nimemua kuandika habari hii kutokana na kukithiri kwa biasharamu ya usafirishaji wasichana na wanawake kutoka vijijini kwenda mijini pamoja na mateso makali yanayowapata wasichana wanaofanya kazi za majumbani. • Biaashara hii haramu imewaathiri wasichana wengi, ambao wanastahili kuwa shuleni kuendelea na masomo, kwani wengi ni wale wenye umri wa miaka 12 hadi 17 wanaotumikishwa kazi za ndani, mashambani na kwenye migodi. Acceleration of Gender-responsive Sustainable Development Goals localisation
TARGET AUDIENCE • Walengwa wakuu ni Viongozi na watendaji wa serikali kusudi waone halisi ilivyo na waweze kuchukua hatua. • Lakini pia watu wanaojifanya ni mawakala wenye kwenda kuwachukua na kuwasafirishaji wasichana hao kutoka vijijini ili waache jambo hilo.
PROCESS/METHODOLOGY • Habari hii nimeifanya kwa njia ya uchunguzi (Observations) na mahojiano maalm ya ana kwa ana na wahusika wakiwemo viongozi wa Serikali. • Wanawake waliozungumza ni 9 na wanaume ni 7. na Sauti zao ni muhimu kwa sababu zitasaidia kupaza sauti zaidi na kuifanya serikali ichukue hatua dhidi ya tatizo hilo dhidi ya wasichana na wanawake. Acceleration of Gender-responsive Sustainable Development Goals localisation
IMPACT • Habari imesomwa na watu wengi, wakiwemo viongozi wa serikali na hata Vijana waliofanya kipindi cha Viwawa Radio Tumaini, walitumia kama mada ya kwenye kipindi chao na simu zilipigwa na sms kuzungumzia tatizo hilo. Acceleration of Gender-responsive Sustainable Development Goals localisation
FEEDBACK • Mrejesho nilioupata ni kupitia wasomaji wa gazeti, walionesha kuguswa kwao na biashara ya wasichana wa kazzi. • Na pia kutumika kwa makala yangu kama mada katika Kipindi cha Watoto cha kinachorushwa na Redio Tumaini, na kipindi cha Viwawa kinachorushwa na Redio Tumaini, ambapo wazazi walipiga simu na kupinga kuwepo kwa biashara hiyo. Acceleration of Gender-responsive Sustainable Development Goals localisation
FOLLOW UP • Kuna haja ya kufanya marejeo ya habari hii, kwani Serikali imesema itaanza kutekeleza mpango wa kutembelea nyumba kwa ajili ya kuangalia watu waliowaajiri wasichana waliosafirishwa kutoka mikoani kwa kudanganywa au kulaghaiwa, ili kuona kama mpango huo umekomeshwa au bado. Acceleration of Gender-responsive Sustainable Development Goals localisation
- Slides: 10